Simuungi mkono RC Dar katika hili la kukerwa na uwepo wa maeneo mengi Showrooms

Ingekuwa vyema ungelishauri bunge lirekebishe sheria ili magari yanayotoa moshi yasiingizwe nchini. RC kuzuia ni kuzua taharuki na huenda ikaleta shida kisheria. Au hujui kuwa serikali bado inalipa fidia watu tangu awamu ya kwanza kwa maamuzi ya kisiasa kama ya RC Dar?
 
Johannesburg na Pretoria Yes Kuna mtaa mmoja tu wenye show rooms za kuuza used cars.yupo sawa.
 
Acha wauze, siku hizi gari sio ishu tena. Hizo ndio ajira lazima ziwe random...kwani wananchi wanaishi sehemu moja....si wametawanyika. Watakuja kutuambia hayaruhusiwi maduka mitaani...turundikane mahali pamoja kama tupo kwenye maonesho
Anataka kufurahisha macho yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…