kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Dini ya kislam ni dini nzuri saana napenda wanavyomtii Mungu wao allah
Na mtume wao napenda wanavyoheshimu mila na desturi zao Ila nachukia sana kwa tabia zao
Tabia Za kujiona bora kuliko wengine. Na tabia Za kutaka kutawala wengine. Hizi tabia sio nzuri katika dunia ya sasa.
Mwaka 2017 kipindi tunafika uku Canada. Kulitokea matukio mbali mbali ya ajabu
Kuna kundi Fulani la ndugu zetu waislam walitaka kuanzisha msikiti wao katika Eneo la staint Foy Quebec City kukatokea wazungu wenye Chuki na uislam wakaenda kupiga watu risasi msikitini umo wakaua waislam kadhaa.
Swala ilo Likawapa serekali nguvu ya kutengeneza kitengo cha kulinda haki Za waislam kitengo icho kinaitwa anti Islamophobia apa Quebec City kikiongozwa na mwanamke ambaye anaitwa Amira Elghawaby
Wakapewa na uhuru wa kuabudu na kufanya mambo Yao mengine kama dini zingine hapa Canada
ila kwasasa sio viongozi au wananchi wote wanajuta kuwapa ndugu zetu waislam uhuru wamekuwa watu wa matukio tu kila kikucha
Katika mitaa ya Montreal ( Quebec) toronto ( ontario) na Vancouver( British colobia ) na calgary ( aliberta) wamekuwa watu wa matukio tu wanafanya ibada zao katika njia Za kupitia magari na watu wanajazana katika barabara wanaandamana kila kukicha na kuaribu Baathi ya vitu Fulani
Juzi juzi uyo. Amira Elghawaby. Alisema ni lazima shule Za Quebec zihanze juajiri wanafanyakazi waislam na waarabu.Ukikuta wao ndo wako mbele ndugu yangu kama Wewe ni wa Imani nyingine hupati kazi. Wazungu wanajuta.
View: https://youtu.be/mJhWfqVbCDk?feature=shared
View: https://youtu.be/S1YSxMUPBNw?feature=shared