Sina furaha kwenye ndoa yangu, nahisi nilikurupuka

Sina furaha kwenye ndoa yangu, nahisi nilikurupuka

Wakuu nakiri kabisa from heart ya kwamba hii ndoa yangu nilikurupuka sana yapata takribani mienzi minne ya ndoa yangu sina hisia ya mapenzi na nahisi kujuta sana kwenye maisha yangu na sina furaha kabisa.

Yaani sina furaha kabisa wakuu yaani najuta kuoa mwanamke wa chop money yaani yeye ni kula tu na kulala na ni mvivu sana na mbaya zaidi kinachoniuma nimetoa mahari nyingi sana lakini binti ni mvivu sana na nahisi majukumu yamenielemea kabisa.

Tafadhali naombeni ushauri wenu wakuu na nataka nimrudishe mazima kwao ili nikeep furaha yangu.

Msinipopoe wakuu
Mpeleke JKT akafundishwe ukakamavu na uzalendo
 
Pole sana ndugu, huyu mkeo ulimjua kwa muda gani kabla ya kufunga ndoa? Nini kilikuvutia kwake hadi ukamuoa, ni chaguo lako au ulichaguliwa na wazazi? Kabla hujamuoa alikua anajishughulisha na nini na sasa anajishughulisha na nini

Makubaliano yenu na amalengo yenu kabla ya ndoa yalikua ni yapi?

Umewahi kukaa nae chini ukazungumza nae kuhusu hizo kero unaziona kwake?responce yake ilikua ipi?

Miezi minne ni michache sana kuanza kusema umemchoka mke ambae umemuoa, nafasi yako kama mume na kauli yako(we call it voice of authority) inaweza badilisha kila kitu ndani ya nyumba, simama kama mwanaume kemea yasiyo sahihi na utoe mwongozo wa maisha kwa huyo mkeo
Hii kidogo itamuamsha akili zinduka kijana👍
 
unajua sikuhizi wavulana wanaingia kwenye ndoa wakiwa na expectations, mtu anavyomlalamikia mkewe utadhani amechagulia na kuozeshwa kumbe kaamua mwenyewe tena akiwa timamu
Hii mihemko Hatari sana itaua vijana🤣🤣🤣
 
Hawa vijana wanatakiwa wapelekwe jandoni wakafunzwe namna ya kuwa mwanaume
Hizi Hatua za ukuaji ukuaji kunanyakati tunazipita zinaenda kusumbua utuuzima🤣🤣🤣patam apo jando zenyew hazieleweki
 
Wakuu nakiri kabisa from heart ya kwamba hii ndoa yangu nilikurupuka sana yapata takribani mienzi minne ya ndoa yangu sina hisia ya mapenzi na nahisi kujuta sana kwenye maisha yangu na sina furaha kabisa.

Yaani sina furaha kabisa wakuu yaani najuta kuoa mwanamke wa chop money yaani yeye ni kula tu na kulala na ni mvivu sana na mbaya zaidi kinachoniuma nimetoa mahari nyingi sana lakini binti ni mvivu sana na nahisi majukumu yamenielemea kabisa.

Tafadhali naombeni ushauri wenu wakuu na nataka nimrudishe mazima kwao ili nikeep furaha yangu.

Msinipopoe wakuu
Kosea Kuoa/Kuolewa Maana Mnaweza Kuachana Muda Wowote

Lakini Ukikosea Kuchagua Rais, Mbunge, Diwani Ujue Mpaka Miaka Mitano Iishe
Ama Kutokee Kifo Ama Kujiuzuru
 
Bora uoe mwanamke anayefanana sura na fid q lakini mpambanaji lakini wewe umeoa kutazama sura na big nyashi kutwa yupo TikTok na insta.
Mpende Ivo Ivo alivyo hakuna namna
 
Ukiona muda wa breakfast mwanaume unawazia ndoa yako kweli umekamatika..

Pole mkuu ila jaribu kuongea nae kama ni muelewa maana naamini, hadi unafikia kumuoa, lazma ulikuwa na strong reasons za kufanya hivyo. Kwa hiyo katika sehemu uliyofikia ambayo unaliona dhaifu moja la mtu, usijisahaulishe mengine yote uliyoyaona kwa kulinganisha na ndoa za wengine au matarajio yako

Naamini bado unaweza kuongea nae mkuu maana mti usiokupa matunda unaweza usiukate kwa sababu unakupa kimvuli.. Msemo wa zamani nilipewa 😁

Pole mkuu
🤣🤣
 
Uke ,anao au hana huo ndo umeuoa

Majukumu yake yako Labour kwenye pain Labour

Harafu unajiita mkunga
 
Shida yake ni hiyo uvivu tu? Hakuna signs za usaliti, kiburi n.k? Una bahati sana mkuu kama shida yake ni uvivu tu.
 
Back
Top Bottom