Sina furaha kwenye ndoa yangu, nahisi nilikurupuka

Mpeleke JKT akafundishwe ukakamavu na uzalendo
 
Hii kidogo itamuamsha akili zinduka kijanaπŸ‘
 
Hii kidogo itamuamsha akili zinduka kijanaπŸ‘
unajua sikuhizi wavulana wanaingia kwenye ndoa wakiwa na expectations, mtu anavyomlalamikia mkewe utadhani amechagulia na kuozeshwa kumbe kaamua mwenyewe tena akiwa timamu
 
unajua sikuhizi wavulana wanaingia kwenye ndoa wakiwa na expectations, mtu anavyomlalamikia mkewe utadhani amechagulia na kuozeshwa kumbe kaamua mwenyewe tena akiwa timamu
Hii mihemko Hatari sana itaua vijana🀣🀣🀣
 
Hawa vijana wanatakiwa wapelekwe jandoni wakafunzwe namna ya kuwa mwanaume
Hizi Hatua za ukuaji ukuaji kunanyakati tunazipita zinaenda kusumbua utuuzima🀣🀣🀣patam apo jando zenyew hazieleweki
 
Kosea Kuoa/Kuolewa Maana Mnaweza Kuachana Muda Wowote

Lakini Ukikosea Kuchagua Rais, Mbunge, Diwani Ujue Mpaka Miaka Mitano Iishe
Ama Kutokee Kifo Ama Kujiuzuru
 
Kosea Kuoa Maana Mnaweza Kuachana Muda Wowote

Lakini Ukikosea Kuchagua Rais, Mbunge, Diwani Ujue Mpaka Miaka Mitano Iishe
Ama Kutokee Kifo Ama Kujiuzuru
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™Œ
 
Bora uoe mwanamke anayefanana sura na fid q lakini mpambanaji lakini wewe umeoa kutazama sura na big nyashi kutwa yupo TikTok na insta.
Mpende Ivo Ivo alivyo hakuna namna
 
🀣🀣
 
Uke ,anao au hana huo ndo umeuoa

Majukumu yake yako Labour kwenye pain Labour

Harafu unajiita mkunga
 
Shida yake ni hiyo uvivu tu? Hakuna signs za usaliti, kiburi n.k? Una bahati sana mkuu kama shida yake ni uvivu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…