Sina furaha na ajira yangu, natamani kuacha. Je, nitaachaje?

Rosemin

Member
Joined
May 21, 2023
Posts
70
Reaction score
532
Wadau, kusema za ukweli sina hisia na furaha kwenye ajira yangu japo nipo muda mchache tokea nimeajiriwa ila hisia na ile furaha ya ajira haipo tena yaani nafanya kazi tu ili siku ziende tu nachukia kufanya kazi labda ni sababu ni wilaya niliyokuwepo.

Nilikuwa kwenye shirika x mkoa x baada ya kutoka ajira za Serikali mwaka jana nikaamua kuomba hizo ajira nikahisi huku ni assurance ila sasa baada ya kuingia huku kwenye ajira za Serikali kupo hovyo, mazingira ya kazi ni magumu sana huku Tamisemi aisee.

Nafikiri kuacha kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…