Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bali maneno ya mdomo huleta hasara.Bado sijaona sababu ya msingi ya kuacha kazi hiyo. Hizo sababu na nyingine nyingi zipo kila ofisi. Wenzako ukiwaona wanafurahia ujue wanavumilia mengi.
Kimsingi Maandiko yanasema " Katika kila kazi kuna faida".
😂Watu wanajiongelesha tu huku tamisemi ni zaidi ya kutupwa kwenye maandaki, una pesa hakuna lakini hupati mbususu za kuchakata una hu ya kitimoto lakini hakuna, wanawake wanasura za babu zao kutwa wapo bize na ulanzi tu dah hatari sana.
Vip baada ya kusepa watu wa bank hawakukutafuta?Kopa pesandefu Kisha ingiaa mitini ndicho nilichowafanyia halmashauri moja Huko mkoa wa rukwa
Mkuu TAMISEMI mwisho ni hapo kipawa ukishapanda ndege...hakuna neno TAMISEMI.Nilishawahi kusema watu serikalini wanapenda kuingia kwa sababu ya ulimbukeni tu na wakiingia tu kinachofuata ni majuto na kufa moyo.
1. Mazingira magumu
2. Marupurupu hakuna
3. Mishahara MIDOGO
4. Exposure zero
5. Connection zero
Kufanya kazi TAMISEMI Nchi hizi za ulimwengu wa tatu ni ishara ya Umaskini tosha.
Tunatokaje hukuHukujui huku local gvt weweeee