Sina furaha na ajira yangu, natamani kuacha. Je, nitaachaje?

ushauri wa moja kwa moja unakuwa mgumu kwakuwa hujatuambia unakusudia kufanya nini baada ya kuacha kazi ili twende kiuhalisia.
 
Maisha siyo mepesi. Unataka kazi gani nyepesi nyepesi? Fanya kazi, tumia fursa zilizopo mpaka ufukuzwe ila usiibe. Usiache kazi.
 
Watu wanajiongelesha tu huku tamisemi ni zaidi ya kutupwa kwenye maandaki, una pesa hakuna lakini hupati mbususu za kuchakata una hu ya kitimoto lakini hakuna, wanawake wanasura za babu zao kutwa wapo bize na ulanzi tu dah hatari sana.
😂
 
Kazi ni mbaya ukiwa nayo na nzuri hukiwa huna!
Kama uliweza acha huko Kampuni X kwenda Serikalini, tunaanini ulifanya analysis vizuri.
And by the way, changamoto hazipo ili tuzikimbie bali tuzikabili. Mwenye vission changamoto kwake huwa ni fursa!
Regards.
 
Mkuu TAMISEMI mwisho ni hapo kipawa ukishapanda ndege...hakuna neno TAMISEMI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…