Uzima Tele
JF-Expert Member
- Jan 20, 2023
- 1,270
- 2,822
Wewe ni mpotoshaji na mtetezi wa uovu usiyestahili kuheshimiwa hata kidogo..!Inawalazimu kuwaingiza na wao barabarani maana hayo mapendekezo ya kutaka kila jimbo liwe na wabunge wawili yanalengo kuwaingiza bungeni baba zao na mama zao.
Watanzania wa kawaida wamegoma kuingizwa barabarani kwa faida ya wajanja wachache ndani ya chama.
Na watu wa dizaini yako si makosa kabisa kukuita mjinga, mpumbavu, limbukeni, muuaji na mpenda uonevu..
Sikiliza bwana ili utoe ujinga wako.
Ni kwamba mapendekezo ya CHADEMA ya Kila Jimbo kuwa na mbunge mmoja wa kiume na wa kike wa kuchaguliwa yanatoka ktk rasimu ya katiba ya Jaji Warioba na Tume yake. Soma👇👇
Ukisoma hapo utagundua kuwa kama pendekezo la CHADEMA litakubalika, idadi ya wabunge itapungua kutoka ya sasa ya 390+ hadi wabunge wasiozidi 155..
Katika hili, baba na mama zako wataingilia wapi maana kwa pendekezo hili hakuna mbunge wa kuteuliwa atakayeingia bungeni. Kila mbunge atachaguliwa na wananchi moja Kwa moja toka majimboni..
Wewe unaelewa hili? Au unaandika uliyorishwa tu na mabwana zako huko bila wewe mwenyewe kutumia akili na ufahamu wako kusoma na kuelewa??
Ma - CCM sijui mna akili gani tu!!