Pre GE2025 Sina hakika kama RC Chalamila anaweza kuligusa kundi hili katika Maandamano ya CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kumbe kupinga mapendekezo yanayotaka kila jimbo moja liwe na wabunge wawili ni udhalimu [emoji23][emoji23] ,
ama kweli kurogwa sio lazima mtu kutupiwa uchawi au tunguli, hata kushikiwa akili na wanaokuzidi akili pia ni kurogwa vile vile.
Umedandia hoja.
 
Ni kwamba wataamua kuwa frontline na watoto wao baada ya kugundua kuwa watanzania wa kawaida hawatoshiriki maandamano hayo.

Ila sina uhakika wa mia kwa mia kama Mbowe, Lisu na familia zao watahusika na maandamano hayo mpaka pale tutapowaona na macho yetu wakiwa mbele ya camera.
We kaa na mkeo nyumbani, tuache wanaume tusonge mbele. Tukifaulu, na wewe utakula matunda ya maandamano
 
Umekoroga sana, kwamba Chalamila amesema patakuwepo na shughuli za usafi zitakazofanywa na vyombo vya ulinzi, then kwa maoni yako kukabiliana na hali hiyo, unadai Mbowe na Lissu watawaita watoto wao toka nje waje kuungana na wengine kwenye maandamano...

Kwamba kwa akili yako, hao watoto wa Mbowe na Lissu ndio watakaowezesha hayo maandamano kufanyika?

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Titachukua mafagio ya chelewana chepe tunaanzia usafi ofisi ya chadema makao makuu tunafagia barabara kuelekea ikulu supervisor wetu ni mbowe
 
Kwanini wazime?

..niliyemjibu alisema anataka watoto wa Mbowe wawepo kwenye maandamano akitarajia yatazimwa na Polisi.

..na mimi nakamjibu ni bora watoto wa Samia ndio wawe mstari wa mbele kuzima maandamano ya Chadema.

..kwanini Ccm wanatumia Polisi walalahoi kumwaga damu za wapinzani ili kulinda madaraka yao? Kwanini wasiwatumie watoto wa vigogo wa Ccm?
 
Yaani

Chalamila anataka kuwapa kiki Chadema, chadema iko hoi, inatafuta sababu ya kususia uchaguzi wa serikali za mita 2024, mimi nashauri, serikali itoe ulinzi, wafanye maandamano halafu waziri wa sheria aende kuwasikiliza na kuchukua maoni yao na kuwaambia tutayapitia na kuyatolea ufafanuzi, katika maandamano hayo kazi ya polisi iwe kufanya uchunguzi nani ataonyesha viasharia vya kuvunja amani iwe kwa kutenda au kuongea, huyo ndo ashughulikiwe.
Anawapa kiki kivipi mkuu, mbona yeye hajaizungumzia Chadema wala maandamano yao?
 
Habari zenu wanaJF wenzangu,

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam RC Albert Chalamila, jana alitangaza kuwa mkoa wa Dar es salaam utakuwa katika operation ya kufanya usafi siku ya tar 24/01/2024, siku ambayo pia ilipangwa kufanyika maandamano ya chama cha upinzani nchini Chadema.

Watu wengi wamekuwa wakihisi kuwa huenda ratiba hiyo ya kufanya usafi imepangwa ili kuzima maandamano hayo ya Chadema yaliotangazwa kufanyika tarehe hiyo hiyo ya 24, mwezi wa kwanza na mwenyekiti wao taifa mh Freeman Mbowe. Kwa kawaida kwa vile vyombo vyote vya ulinzi na usalama vitashiriki katika operation hiyo ya usafi basi itakuwa ngumu chama hicho kuingia barabarani kuandamana, na ikitokea watu wakaingia kuandamana basi kila mtu anajua nini kitachotokea.

Sasa kutokana na swala hilo la maandamano kuingiliana na ratiba za dola, inasemekana viongozi wa Chadema ambao ndio walioandaa maandamano hayo wameamua kuja na plan B ili kumtoa mh Chalamila mtegoni.

Taarifa nilizopata kupitia kwa mtu wa ndani, na wa karibu wa chama hicho ambae hakutaka kutaja jina lake, ni kwamba mwenyekiti wa chama hicho taifa amepanga kuwaita watoto wake wote waliopo Marekani warudi mara moja nchini kuja kuungana na wazazi wao, pamoja na ndugu zao (wadogo zao na kaka zao) katika maandamano hayo, halikadhalika M/mwenyekiti mh Lisu nae amepanga kufanya hivyo kama Mbowe. Na yeye amepanga kuwaambia watoto wake warudi mara moja kidharura ili kuungana nao katika maandamano hayo kwa lengo la kuonesha mshikamano wao na wazazi wao.

Ikumbukwe kuwa watoto hao baadhi ni raia wa Marekani, lkn pia ikumbukwe kuwa maandamano hayo yamepangwa kuwa ni ya amani, hivyo kushiriki kwao hakutakuwa na athari yoyote kwa uraia wao.

Hii ni baada ya kuona watu wengi kuhofia kushiriki katika maandamano hayo ambayo wanasema yatakumbana na balaa lisilotabirika. Hivyo wao kama viongozi walioandaa maandamano, wameamua kuwa mbele ya maandamano hayo na familia zao hata kama raia wa kawaida hawatojitokeza.

Swali je hivi RC Chalamila akitaka kutumia nguvu siku hiyo, ataweza kuwagusa vigogo hao na familia zao, special wale ambao tayari ni raia wa Marekani?

Mwenye jibu aje ajibu.

Karibuni.
Kwani wapi Chalamila alisema "ataligusa"?
 
Bukoba ndio iko Kipundua waende huko wakafanye usafi pia.
 
Karibun
Kule Jamaica watu kama nyinyi mnaitwa Batty Head
 
Sina uzoefu sana na siasa ila nachojua wao huwa hawaumii, mtaumia nyie akina sie na hutoona kitu zaid ya pole. Bora nipambanie ugali wangu na watoto mambo ya madaraka waingie weneyewe na watoto wao front. Kumbe familia zipo Marekani.
Hukumuelewa mleta uzi na swali ambalo ni muhimu sana
 
Yani raia wa nchi za kigeni waje kushiriki maandamano ya kisiasa kwenye nchi nyingine? Hata hiyo State Department ya marekani haiwezi kuruhusu jambo la kijinga kama hilo.
Btw, wakija na wakashiriki maandamano wanakuwa halali ya virungu vya manjagu.
 
Umekoroga sana, kwamba Chalamila amesema patakuwepo na shughuli za usafi zitakazofanywa na vyombo vya ulinzi, then kwa maoni yako kukabiliana na hali hiyo, unadai Mbowe na Lissu watawaita watoto wao toka nje waje kuungana na wengine kwenye maandamano...

Kwamba kwa akili yako, hao watoto wa Mbowe na Lissu ndio watakaowezesha hayo maandamano kufanyika?

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Anamaanisha kuwa Familia ya CDM ndiyo yenye uhitaji wa hiyo miswaada ya ya sheria mbovu.

Ana maanisha familia ya CDM ndiyo uhitaji wa kuahuusha gharama za maisha.
 
Watoto wa Chalamira na wenzie wanasoma Academy kwa maana ya english medium schools, huku mamilioni ya watoto wa watanzania wanasoma kajamba nani primary school huku wakiambiwa kiswahili ni lugha ya Taifa na kiingereza hakina maana kwao.
Ccm wote ni wanafiki sana
 
Back
Top Bottom