Pre GE2025 Sina hakika kama RC Chalamila anaweza kuligusa kundi hili katika Maandamano ya CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe ni mpotoshaji na mtetezi wa uovu usiyestahili kuheshimiwa hata kidogo..!

Na watu wa dizaini yako si makosa kabisa kukuita mjinga, mpumbavu, limbukeni, muuaji na mpenda uonevu..

Sikiliza bwana ili utoe ujinga wako.

Ni kwamba mapendekezo ya CHADEMA ya Kila Jimbo kuwa na mbunge mmoja wa kiume na wa kike wa kuchaguliwa yanatoka ktk rasimu ya katiba ya Jaji Warioba na Tume yake. Soma👇👇

Ukisoma hapo utagundua kuwa kama pendekezo la CHADEMA litakubalika, idadi ya wabunge itapungua kutoka ya sasa ya 390+ hadi wabunge wasiozidi 155..

Katika hili, baba na mama zako wataingilia wapi maana kwa pendekezo hili hakuna mbunge wa kuteuliwa atakayeingia bungeni. Kila mbunge atachaguliwa na wananchi moja Kwa moja toka majimboni..

Wewe unaelewa hili? Au unaandika uliyorishwa tu na mabwana zako huko bila wewe mwenyewe kutumia akili na ufahamu wako kusoma na kuelewa??

Ma - CCM sijui mna akili gani tu!!
 
Panyabuku, yale maandamano yaliyomuua mwanafunzi watoto wa Mbowe na Lissu walikuwepo, yale maandamano ya Arusha ambayo Slaa na mkewe walijeruhiwa huyo Slaa na mkewe walikuwa kwa mkeo! Wewe badala ya kuhoji teuzi za mabwana zako wanazowapa watoto wao unaleta ujinga wa kipumbavu.
 
Inaonekana wewe ni mke wa mwenyekiti, maana povu limekutoka baada ya kuambiwa kuwa mtaandamana na waume zenu siku hiyo.
Pole dada ndo hasara ya kuolewa na mwanasiasa wa Africa.
 
Kwa vile wananchi wameonekana kuogopa kuingia barabarani kuandamana, na kwa vile viongozi wa Chadema hawataki kuona siku hiyo inapita bila maandamano. Ndo wameamua kuja na mpango huo ambao utaonesha kuwa kweli watu wameandamana japo kwa uchache wao.
Wananchi wa wapi hao uliowatembelea ukawakuta na hiyo hofu?

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Nani alikudanganya Kuna watoto Merikani!!
 
Marehemu Mawazo alikuwa mstari wa mbele kukipigania chadema ,aliuawa kikatili mno!. Familia yake iliambulia pole na mfuko wa sukari kilo mbili. Nyumba aliyoiacha marehemu imebaki vile vile pasipo muendelezo wowote (maana ilikuwa haijamalizika).
 
Watoto wa Mbowe na Lissu ambao ni walamba asali ni raia wa nchi za nje halafu anatokea mnyonge mmoja ambaye hata hajawahi kupanda gari la mkoani anakuja kupambana kwenye maandamano ili hizo familia ziendelee kuishi vizuri, hii haipo sawa.

Unakuta wanawake kama akina Erythrocyte wanapambana hapa kila siku na kushindwa kulinda waume zao ili tuu familia za walamba asali waishi vizuri.
 
Upuuzi
 
Inaonekana wewe ni mke wa mwenyekiti, maana povu limekutoka baada ya kuambiwa kuwa mtaandamana na waume zenu siku hiyo.
Pole dada ndo hasara ya kuolewa na mwanasiasa wa Africa.
Tutakutafuta tukupeleke Mloganzila wakakuongeze bando la makalio.
 
Ccm itatawala milele vijana wa Tanzania ni kama wamelala usingizi wa mauti.
Kizazi cha chuma cha 1995 na 2000 kilishapita saasa taifa halina vijana lina mzigo wa misumari.
CCM HOYEEEEE
 
Nani alikudanganya Kuna watoto Merikani!!
Baba zao washasema serikali ya Tanzania imekuwa inakataa kutoa visa kwa watoto wao ambao tayari ni raia wa Marekani. Hivyo wanataka uraia pacha.
 
Marehemu Mawazo alikuwa mstari wa mbele kukipigania chadema ,aliuawa kikatili mno!. Familia yake iliambulia pole na mfuko wa sukari kilo mbili. Nyumba aliyoiacha marehemu imebaki vile vile pasipo muendelezo wowote (maana ilikuwa haijamalizika).
Wenye akili timamu wajifunze kupitia marehemu Mawazo, Ben nk
Maana kuna watu mpaka leo ni vilema kupitia bomu la soweto kule Arusha na bado hakuna anaewajali.
 
Yaani
Chalamila anataka kuwapa kiki Chadema, chadema iko hoi, inatafuta sababu ya kususia uchaguzi wa serikali za mita 2024, mimi nashauri, serikali itoe ulinzi, wafanye maandamano halafu waziri wa sheria aende kuwasikiliza na kuchukua maoni yao na kuwaambia tutayapitia na kuyatolea ufafanuzi, katika maandamano hayo kazi ya polisi iwe kufanya uchunguzi nani ataonyesha viasharia vya kuvunja amani iwe kwa kutenda au kuongea, huyo ndo ashughulikiwe.
 
Kwa vichekesho kama hivi tupige ngapi[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81] ulete umarekani wako kwa masrahi ya fisihemu dadekii. una nyolewa nje ya ubalozi wa US
 
Wakiitwa watu wenye akili timamu, na wewe utaenda?

Mods, jukwaa hili lilikusudiwa kwa watu wenye utimamu wa akili kwaajili ya kujadiliana, kupeana habari na kufanya analyses mbalimbali. Nina hakika jukwaa halikuwa kwaajili ya umbea. Mnapozidi kuzilea tabia hizi, mbashusha hadi ya jukwaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…