Pre GE2025 Sina hakika kama RC Chalamila anaweza kuligusa kundi hili katika Maandamano ya CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kumbe kupinga mapendekezo yanayotaka kila jimbo moja liwe na wabunge wawili ni udhalimu [emoji23][emoji23] ,
ama kweli kurogwa sio lazima mtu kutupiwa uchawi au tunguli, hata kushikiwa akili na wanaokuzidi akili pia ni kurogwa vile vile.
Umedandia hoja.
 
We kaa na mkeo nyumbani, tuache wanaume tusonge mbele. Tukifaulu, na wewe utakula matunda ya maandamano
 
Titachukua mafagio ya chelewana chepe tunaanzia usafi ofisi ya chadema makao makuu tunafagia barabara kuelekea ikulu supervisor wetu ni mbowe
 
Kwanini wazime?

..niliyemjibu alisema anataka watoto wa Mbowe wawepo kwenye maandamano akitarajia yatazimwa na Polisi.

..na mimi nakamjibu ni bora watoto wa Samia ndio wawe mstari wa mbele kuzima maandamano ya Chadema.

..kwanini Ccm wanatumia Polisi walalahoi kumwaga damu za wapinzani ili kulinda madaraka yao? Kwanini wasiwatumie watoto wa vigogo wa Ccm?
 
Anawapa kiki kivipi mkuu, mbona yeye hajaizungumzia Chadema wala maandamano yao?
 
Kwani wapi Chalamila alisema "ataligusa"?
 
Bukoba ndio iko Kipundua waende huko wakafanye usafi pia.
 
Kule Jamaica watu kama nyinyi mnaitwa Batty Head
 
Sina uzoefu sana na siasa ila nachojua wao huwa hawaumii, mtaumia nyie akina sie na hutoona kitu zaid ya pole. Bora nipambanie ugali wangu na watoto mambo ya madaraka waingie weneyewe na watoto wao front. Kumbe familia zipo Marekani.
Hukumuelewa mleta uzi na swali ambalo ni muhimu sana
 
Yani raia wa nchi za kigeni waje kushiriki maandamano ya kisiasa kwenye nchi nyingine? Hata hiyo State Department ya marekani haiwezi kuruhusu jambo la kijinga kama hilo.
Btw, wakija na wakashiriki maandamano wanakuwa halali ya virungu vya manjagu.
 
Anamaanisha kuwa Familia ya CDM ndiyo yenye uhitaji wa hiyo miswaada ya ya sheria mbovu.

Ana maanisha familia ya CDM ndiyo uhitaji wa kuahuusha gharama za maisha.
 
Watoto wa Chalamira na wenzie wanasoma Academy kwa maana ya english medium schools, huku mamilioni ya watoto wa watanzania wanasoma kajamba nani primary school huku wakiambiwa kiswahili ni lugha ya Taifa na kiingereza hakina maana kwao.
Ccm wote ni wanafiki sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…