Pre GE2025 Sina hakika kama RC Chalamila anaweza kuligusa kundi hili katika Maandamano ya CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hiyo ni Chai, mbowe mnafiki sana.
Maandamano yasipofanikiwa itakuwa busara Mbowe ajiuzuru na Chadema ichague kiongozi mwingine!! Huku nyuma anafanya Mipango na ccm halafu akija hadharani anawakashifu!!
Hakuna Uhuru wa kweli unaokuja kwa watawala kuachia ngazi kwa hiari yao! Hayo maridhiano ni ishara ya woga; ccm hawawezi kuachia madaraka mpaka watu wafe ili waende ahera!
 
Hukumuelewa mleta uzi na swali ambalo ni muhimu sana
Ukitumia akili ya kuzaliwa na kuacha kutumia akili ya kuwekewa na wanasiasa wachovu watanzania. Utagundua alichoandika jamaa kina ukweli na kinafikirisha.

Ila ndo hivyo wanasiasa wanatumia pesa kusomesha watoto zao Ulaya, na kuwatumia watoto wa wenzao Afrika. Just fikiria kikubwa.
 

Attachments

  • Screenshot_20240116-062853.jpg
    81.4 KB · Views: 1
Mbowe he's there to stay. Chama ni cha kwake na mkwe wake, wanachadema wote wapo mfukoni kwake. Hakuna chawa wala kiongozi uchwara yeyote atakaempangia nini cha kufanya.

Anavuta mpunga kutoka serikalini, na hakuna mjinga yoyote wa kumzuia yeye kufanya hivyo. Anaeona anaumia akaanzishe chama chake na yeye.
 
Kasema wabunge 70 wa kuchaguliwa, ina maana Tz nzima tutakuwa na majimbo 35? Hapana aisee, hio mm nakataa
 
Tena anasema wabunge 50 bara, ina maana bara tutabaki na majimbo 25, ina maana kila mkoa utakuwa jimbo ? Hapana aisee hio mbaya
 
Kwaiyo mmarekani aje kuandamana bongo?
 
Takataka..
Kwa hiyo kila anayesoma nje anakuwa raia wa huko?

Ridhiwani Kikwete aliyesoma Uingereza amekuwa mwingereza? Acha upimbi.
Uvccm mnateseka sana!
 
Takataka..
Uvccm mnateseka sana!
Siku hizi ni kama watanzania washashtuka aisee. Kila wapinzani wakipanga maandamano, waandamanaji wanaomba kwanza familia za wanaopanga maandamano ziwe frontline alafu na wao ndio waingie barabarani.

Hii imesababisha maandamano yote yanayopangwa na wapinzani yadode.. maana familia za wanaopanga maandamano hazitokei maandamanoni na waandamanaji nao wanakwepa kuingia barabarani 🤣🤣🤣
 
Hakika huu ndo ukweli.
 
Kasema wabunge 70 wa kuchaguliwa, ina maana Tz nzima tutakuwa na majimbo 35? Hapana aisee, hio mm nakataa
Umesoma vizuri na kwa umakini Kwa lengo la kuelewa pendekezo la CHADEMA vs Rasimu ya katiba ya Tume ya mabadiliko ya katiba ya Jaji warioba?

Nadhani ndugu Beberu hujasoma. Sasa rudi Tena ukasome, uelewe na Kisha njoo tena tujadiliane...

Hata hivyo;

👉Kama ni 70 maana yake ni majimbo 70 na Kila Jimbo kutakuwa na mwakilishi mmoja wa wanaume na mmoja wa wanawake. Jumla itakuwa wabunge 140 direct toka majimboni..

👉Wapo wa kutoka Zanzibar na wale wa kuteuliwa na Rais. Jumla hawatazidi wabunge 250!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…