Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Kwani sababu ya kuoa ni nini!?Kwani uongo ndoa zina matatizo sana, mimi hapa kila nikimuomba penzi mke wa mtu napewa bila wasiwasi sasa kuna haja gani ya kuoa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani sababu ya kuoa ni nini!?Kwani uongo ndoa zina matatizo sana, mimi hapa kila nikimuomba penzi mke wa mtu napewa bila wasiwasi sasa kuna haja gani ya kuoa.
Sikusahau mzee ,alipokuwa na mimba ya mtoto wa kwanza nikaona itakuwa aibu kwake kuzaa bila kuwa na mwanaume anayefahamika, so nilienda huko kwao akiwa anakaribia kujifungua then nikapangiwa mahali nikalipa, so kiasi flani jamii yote inajua shes my wife, shida ni kuishi naye hapa kwangu zamani nilikuwa nampiga viswahili akitaka ahamie kwangu saizi naye kaacha kuhoji kabisa na mbaya zaidi kafanikiwa kuwa na kibanda chake cha kuishi ,Inaonekana mkuu uko busy kama moyo yaani ulilipa mahali halafu ukasau kumfuata mwanamke
Mkuu au labda walimu wenzako wamekurogasikusahau mzee ,alipokuwa na mimba ya mtoto wa kwanza nikaona itakuwa aibu kwake kuzaa bila kuwa na mwanaume anayefahamika, so nilienda huko kwao akiwa anakaribia kujifungua then nikapangiwa mahali nikalipa, so kiasi flani jamii yote inajua shes my wife, shida ni kuishi naye hapa kwangu zamani nilikuwa nampiga viswahili akitaka ahamie kwangu saizi naye kaacha kuhoji kabisa na mbaya zaidi kafanikiwa kuwa na kibanda chake cha kuishi naye
Sahii kabisa,Nimewaza tu,vipi kama kuna chemistry mmeshindwa kuijenga na mkeo/mzazi mwenzako?na huo mwanya unaukimbia na kwenda kujificha kwenye 'kichaka' cha kutafuta pesa?
Nimewaza tu,vipi kama kuna chemistry mmeshindwa kuijenga na mkeo/mzazi mwenzako?na huo mwanya unaukimbia na kwenda kujificha kwenye 'kichaka' cha kutafuta pesa?
Uoe mara ngapi ndugu, ushaoa mda sema umetengana na mkeo na familia yako.Mwisho wa mwaka huu, nitakuwa na miaka 35, umri wa uzee, kinachonichanganya sihisi wito kabisa wa kuoa na kuishi na mwanamke, huko nyuma atleast nilikuwa na hiyo hali ya kutamani kuishi na mwanamke kiasi kwamba niliifanikiwa kupata watoto wawili kwa mwanamke mmoja, na nilitoa hadi mahari
Mbona January Makamba anakaribia kugonga 50 na anaitwa kijana?!Mwisho wa mwaka huu, nitakuwa na miaka 35, umri wa uzee, kinachonichanganya sihisi wito kabisa wa kuoa na kuishi na mwanamke, huko nyuma atleast nilikuwa na hiyo hali ya kutamani kuishi na mwanamke kiasi kwamba niliifanikiwa kupata watoto wawili kwa mwanamke mmoja, na nilitoa hadi mahari
Unadhani una nafasi ya kuyajenga na mkeo,mkaanza upya kujenga uhusiano wenu?toka moyoni kwangu sifurahishwi na hii hali,
imewaza tu,vipi kama kuna chemistry mmeshindwa kuijenga na mkeo/mzazi mwenzako?na huo mwanya unaukimbia na kwenda kujificha kwenye 'kichaka' cha kutafuta pesa?
Dah ha ha mimi nguvu ninazo zote, issue kwangu ni wanawake wametoka kabisa kichwaniTupo wengi mkuu usiwaze ila tofauti ni kwa upande wangu napenda sana kufanya mapenzi na nguvu zipo za kutosha, muda wote nasimamisha hata nikiwa kwenye majukumu.
Basi olewa wewe…. may be you like men not womenMwisho wa mwaka huu, nitakuwa na miaka 35, umri wa uzee, kinachonichanganya sihisi wito kabisa wa kuoa na kuishi na mwanamke, huko nyuma atleast nilikuwa na hiyo hali ya kutamani kuishi na mwanamke kiasi kwamba niliifanikiwa kupata watoto wawili kwa mwanamke mmoja, na nilitoa hadi mahari
Cha ajabu hamu ya kuishi na mwanamke inazidi kupotea huku umri unaenda, na kinachonitisha ni mwili kukata hamu kabisa kwa wanawake, hivi nandika hapa nina miezi miwili sijui uchi wa mwanamke, ratiba yangu imekuwa ni hivi asubuhi nakwenda shule, mchana nikitoka naenda kwenye biashara zangu au mashambani kwangu kuhudumia mimea na mifugo, najikuta tayari ni usiku nikirudi kwangu ni kulala tu
Sikumbuki kuhusu wanawake kabisa , huko nyuma afadhali kila juma tatu nilikuwa nazifumua mbususu lakini saizi hamna hiyo, hata tu kutongoza siwezi, hata hamu mama kwa mama watoto imepotea kabisa , nilipanga niishi naye kuanzia mwaka huu, ila naona akili haisemi chochote, ninachowaza ni pesa pesa basi
Niliamini sana huko nyuma pesa ikiongezeka na shughuli zikiwa kubwa ntaishi na family kwa furaha, yes pesa kibongo bongo ipo kiasi chake yaani zile ndoto za kuwa mtanzania nimetimiza (nyumba, gari n miradi flani ninayo tayar🙂 ada ya wanangu nalipa na take care kwa kumpatia mama yao pesa ya matumizi kila mwezi, mahali nilitoa, shida ni kuishi na mwanamke tu
Nawaza kazi zangu tu ,kinachonitesa sana ni wanangu kuwa siishi nao (ni kitu ambacho kinaniumiza sana) imefika wakati naweza toka shule ninapofundisha na kwenda kuwasalimia na huwa natoa hadi machozi nikifikiri why siishi nao, ila linapokuja suala la kuishi na mama yao inaKuwa mtihani, msaada wenu napokea ushauri , napokea pia matusi na kejeli, i'm old enough na maisha ya mtandaoni nayafahamu
Sawa ntaolewa kama kwenu mwanaume huwa anaolewaBasi olewa wewe…. may be you like men not women
Duh!..Inaonekana mkuu uko busy kama moyo yaani ulilipa mahali halafu ukasau kumfuata mwanamke
Ni kweli mkuu...na labda hapo ndipo penye changamoto.Sahii kabisa,
Tatizo linaweza kua hata kwa mwanamke wake, ujue Kuna wanawake anajua kukutengenezea mazingira unatamani uoe.
Wengine anakuboa kila Mara unaona nafas nzur Ni kutokua nae karibu.
Brother you can't have both way …huwezi sema nguvu zako zipo sawa sawa alafu pia huna hamu ya kufanya mapenzi sababu kupoteza hamu ya mapenzi ni moja ya dalili za kukosa nguvu za kiumeMwisho wa mwaka huu, nitakuwa na miaka 35, umri wa uzee, kinachonichanganya sihisi wito kabisa wa kuoa na kuishi na mwanamke, huko nyuma atleast nilikuwa na hiyo hali ya kutamani kuishi na mwanamke kiasi kwamba niliifanikiwa kupata watoto wawili kwa mwanamke mmoja, na nilitoa hadi mahari
Nakazia ✍️✍️✍️Kwa maslahi ya watoto mchukue mama yao muishi pamoja mengine yatajulikana huko mbele ya safari