Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Wala huna tatizo achana na ndoa ni utapeli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisa unaambiwa kila mtu ni mvivu katika Jambo flani,huyu jamaa ni mvivu ktk kuishi na mwenza kwahiyo anatafuta sababu ktk kutafuta pesa,huo ndio ukweli, wangapi wanatafuta pesa na wanaishi na wenza wao, jitafakari Mzee unafeli Sana, unapoteza mapenzi na wanao.Nimewaza tu,vipi kama kuna chemistry mmeshindwa kuijenga na mkeo/mzazi mwenzako?na huo mwanya unaukimbia na kwenda kujificha kwenye 'kichaka' cha kutafuta pesa?
Ubaya upo na ndiyo kama hivi anahaha kusaka ushauri..!!!
Kaombewe wewe sio mzimaMwisho wa mwaka huu, nitakuwa na miaka 35, umri wa uzee, kinachonichanganya sihisi wito kabisa wa kuoa na kuishi na mwanamke, huko nyuma atleast nilikuwa na hiyo hali ya kutamani kuishi na mwanamke kiasi kwamba niliifanikiwa kupata watoto wawili kwa mwanamke mmoja, na nilitoa hadi mahari
Cha ajabu hamu ya kuishi na mwanamke inazidi kupotea huku umri unaenda, na kinachonitisha ni mwili kukata hamu kabisa kwa wanawake, hivi nandika hapa nina miezi miwili sijui uchi wa mwanamke, ratiba yangu imekuwa ni hivi asubuhi nakwenda shule, mchana nikitoka naenda kwenye biashara zangu au mashambani kwangu kuhudumia mimea na mifugo, najikuta tayari ni usiku nikirudi kwangu ni kulala tu
Sikumbuki kuhusu wanawake kabisa, huko nyuma afadhali kila juma tatu nilikuwa nazifumua mbususu lakini saizi hamna hiyo, hata tu kutongoza siwezi, hata hamu mama kwa mama watoto imepotea kabisa , nilipanga niishi naye kuanzia mwaka huu, ila naona akili haisemi chochote, ninachowaza ni pesa pesa basi
Niliamini sana huko nyuma pesa ikiongezeka na shughuli zikiwa kubwa ntaishi na family kwa furaha, yes pesa kibongo bongo ipo kiasi chake yaani zile ndoto za kuwa mtanzania nimetimiza (nyumba, gari n miradi flani ninayo tayar🙂 ada ya wanangu nalipa na take care kwa kumpatia mama yao pesa ya matumizi kila mwezi, mahali nilitoa, shida ni kuishi na mwanamke tu
Nawaza kazi zangu tu, kinachonitesa sana ni wanangu kuwa siishi nao (ni kitu ambacho kinaniumiza sana) imefika wakati naweza toka shule ninapofundisha na kwenda kuwasalimia na huwa natoa hadi machozi nikifikiri why siishi nao, ila linapokuja suala la kuishi na mama yao inaKuwa mtihani, msaada wenu napokea ushauri , napokea pia matusi na kejeli, i'm old enough na maisha ya mtandaoni nayafahamu
I'm in love with this comment [emoji120]Kuja mambo mengi
1.Una trauma ambayo hutaki ku admit una historia mbaya na wanawake au mwanamke uliyezaa nae ni km hatoshi kuwa mkeo au una soma taarifa mbaya mbaya kuhusu mahusiano.
2.Una jini mahaba
Mke wangu ameshawahi kuwa na jini mahaba ni balaa sana ni vile tu mimi nina nguvu ya asili kwenye ulimwengu wa roho ila hilo nalo lipo na limewapoteza wengi
3.Wewe unapenda space flani hivi privacy
Binafsi wakati sijaoa nilikuwa na hofu moja kubwa,nitawezaje kukaa na mtu ndani mda mrefu maana mimi nilivyo siwezi kukaa na yeyote yule mda mrefu bila kujitenga mwenyewe kwa mda.Sasa nikawa nawaza itakuwaje hii tabia yangu ya kupenda kukaa mwenyewe tena nyumbani!!!Huwezi amini nilikuwa Nina kila kitu na uwezo wa kuishi na mke ila hofu yangu ilikuwa privacy,itakuwaje nitawezaje??nilivyotoa mali nilikaa na mke wangu chini nikamwambia pamoja na wewe kuniona mi ni charming,social ila siwezi kukaa na mtu mda mrefu hivyo nikikuoa ukiona nipo chumbani mwenyewe au nipo nje na kiti mwenyewe ujue kabisa ndo nilivyo na sijabadilika.
Nikaoa!!!cha ajabu nikajikuta tena siwezi kukaa mbali na mke wangu mda mrefu na hata nikiwa kimya ila nataka yeye awe pembeni tu na ukimya huo huo.
Kuna vitu unaweza kuhisi huviwezi ila ni kwasababu haujawahi jaribu,ukijaribu ni vyepesi sana.
Mke ana raha yake hasa km hukukurupuka kwenye kuoa siku hizi wanaume hatujui kuchagua wanawake tupo busy sana na kuwaza ngono tuna miss wanawake wazuri wa kufanya nao maisha.Utakuwa binti wa Miaka 33 unamuona kabisa mbona huyu binti hana shida ila mume hana sasa hao tunaowaoa sasa[emoji23][emoji23][emoji23]mmmmh
🤣🤣🤣Inaonekana mkuu uko busy kama moyo yaani ulilipa mahali halafu ukasau kumfuata mwanamke
Chukua mke wako na watoto wako walete nyumbani kwako, imarisha eneo lako la kiroho, nikiwa nina maana rejesha uhusiano wako na Mungu.Mwisho wa mwaka huu, nitakuwa na miaka 35, umri wa uzee, kinachonichanganya sihisi wito kabisa wa kuoa na kuishi na mwanamke, huko nyuma atleast nilikuwa na hiyo hali ya kutamani kuishi na mwanamke kiasi kwamba niliifanikiwa kupata watoto wawili kwa mwanamke mmoja, na nilitoa hadi mahari
Cha ajabu hamu ya kuishi na mwanamke inazidi kupotea huku umri unaenda, na kinachonitisha ni mwili kukata hamu kabisa kwa wanawake, hivi nandika hapa nina miezi miwili sijui uchi wa mwanamke, ratiba yangu imekuwa ni hivi asubuhi nakwenda shule, mchana nikitoka naenda kwenye biashara zangu au mashambani kwangu kuhudumia mimea na mifugo, najikuta tayari ni usiku nikirudi kwangu ni kulala tu
Sikumbuki kuhusu wanawake kabisa, huko nyuma afadhali kila juma tatu nilikuwa nazifumua mbususu lakini saizi hamna hiyo, hata tu kutongoza siwezi, hata hamu mama kwa mama watoto imepotea kabisa , nilipanga niishi naye kuanzia mwaka huu, ila naona akili haisemi chochote, ninachowaza ni pesa pesa basi
Niliamini sana huko nyuma pesa ikiongezeka na shughuli zikiwa kubwa ntaishi na family kwa furaha, yes pesa kibongo bongo ipo kiasi chake yaani zile ndoto za kuwa mtanzania nimetimiza (nyumba, gari n miradi flani ninayo tayar🙂 ada ya wanangu nalipa na take care kwa kumpatia mama yao pesa ya matumizi kila mwezi, mahali nilitoa, shida ni kuishi na mwanamke tu
Nawaza kazi zangu tu, kinachonitesa sana ni wanangu kuwa siishi nao (ni kitu ambacho kinaniumiza sana) imefika wakati naweza toka shule ninapofundisha na kwenda kuwasalimia na huwa natoa hadi machozi nikifikiri why siishi nao, ila linapokuja suala la kuishi na mama yao inaKuwa mtihani, msaada wenu napokea ushauri , napokea pia matusi na kejeli, i'm old enough na maisha ya mtandaoni nayafahamu
Kabisa akuze Imani yakeChukua mke wako na watoto wako walete nyumbani kwako, imarisha eneo lako la kiroho, nikiwa nina maana rejesha uhusiano wako na Mungu.
Jambo la msingi kwa sasa kwakeKabisa akuze Imani yake
Aiseee vijana mmekata tamaa sana, sijui tatizo niniHofu tu mkuu unayo.Tupo wengi wenye 35 na kuendelea but hatuna wasiwasi.Hata hivyo zama hizi kupata na kuishi na hawa wenzetu imekuwa ni changamoto sn.
Ukiwa kwenye ndoa miaka hii ni hatariiii sn,kwani kuua ama kufa wewe ni possible sn
Dalili za mwanamke mwenye jini mahaba ni zipi ?Kuja mambo mengi