Sina hamu kabisa ya kuoa na umri unazidi kwenda

Inaonekana mkuu uko busy kama moyo yaani ulilipa mahali halafu ukasau kumfuata mwanamke
Sikusahau mzee ,alipokuwa na mimba ya mtoto wa kwanza nikaona itakuwa aibu kwake kuzaa bila kuwa na mwanaume anayefahamika, so nilienda huko kwao akiwa anakaribia kujifungua then nikapangiwa mahali nikalipa, so kiasi flani jamii yote inajua shes my wife, shida ni kuishi naye hapa kwangu zamani nilikuwa nampiga viswahili akitaka ahamie kwangu saizi naye kaacha kuhoji kabisa na mbaya zaidi kafanikiwa kuwa na kibanda chake cha kuishi ,
 
Mkuu au labda walimu wenzako wamekuroga
 
Mi nadhan tatizo like kwa wanawake ukikutana nao kimahusiano, hawakuhamasishi kuendelea kua nao kwa MDA mrefu.

Ujue ukiwa kwenye mlolongo wa mahusiano yenye makwazo kwa MDA mrefu Ni ngumu Sana mwanaume kutamani kuoa
 
Nimewaza tu,vipi kama kuna chemistry mmeshindwa kuijenga na mkeo/mzazi mwenzako?na huo mwanya unaukimbia na kwenda kujificha kwenye 'kichaka' cha kutafuta pesa?
Sahii kabisa,
Tatizo linaweza kua hata kwa mwanamke wake, ujue Kuna wanawake anajua kukutengenezea mazingira unatamani uoe.

Wengine anakuboa kila Mara unaona nafas nzur Ni kutokua nae karibu.
 
Toka moyoni kwangu sifurahishwi na hii hali,
Nimewaza tu,vipi kama kuna chemistry mmeshindwa kuijenga na mkeo/mzazi mwenzako?na huo mwanya unaukimbia na kwenda kujificha kwenye 'kichaka' cha kutafuta pesa?

Imewaza tu,vipi kama kuna chemistry mmeshindwa kuijenga na mkeo/mzazi mwenzako?na huo mwanya unaukimbia na kwenda kujificha kwenye 'kichaka' cha kutafuta pesa?
 
Uoe mara ngapi ndugu, ushaoa mda sema umetengana na mkeo na familia yako.

Ondoa msongo, irejee familia yako maisha yaendelee. Hizo kazi unazohangaika nazo pesa unapeleka wapi kama sio kuhudumia hiyo familia uliojitenga nayo.

Warudishe nyumbani halalisha mke kisheria muendelee na maisha.
 
Mbona January Makamba anakaribia kugonga 50 na anaitwa kijana?!
 
toka moyoni kwangu sifurahishwi na hii hali,


imewaza tu,vipi kama kuna chemistry mmeshindwa kuijenga na mkeo/mzazi mwenzako?na huo mwanya unaukimbia na kwenda kujificha kwenye 'kichaka' cha kutafuta pesa?
Unadhani una nafasi ya kuyajenga na mkeo,mkaanza upya kujenga uhusiano wenu?
 
Tupo wengi mkuu usiwaze ila tofauti ni kwa upande wangu napenda sana kufanya mapenzi na nguvu zipo za kutosha, muda wote nasimamisha hata nikiwa kwenye majukumu.
Dah ha ha mimi nguvu ninazo zote, issue kwangu ni wanawake wametoka kabisa kichwani
 
Basi olewa wewe…. may be you like men not women
 
Ishi kama wewe, bora wewe una watoto kuna mwingine hana hata mtoto na habari kabisa za kuoa hana
maana utayaforce utaingia 😀😀😀 kitakachokupata jombaa ! Hebu sikiliza moyo wako kwanza !!
 
Sahii kabisa,
Tatizo linaweza kua hata kwa mwanamke wake, ujue Kuna wanawake anajua kukutengenezea mazingira unatamani uoe.

Wengine anakuboa kila Mara unaona nafas nzur Ni kutokua nae karibu.
Ni kweli mkuu...na labda hapo ndipo penye changamoto.
 
Brother you can't have both way …huwezi sema nguvu zako zipo sawa sawa alafu pia huna hamu ya kufanya mapenzi sababu kupoteza hamu ya mapenzi ni moja ya dalili za kukosa nguvu za kiume
 
Kwa maslahi ya watoto mchukue mama yao muishi pamoja mengine yatajulikana huko mbele ya safari
Nakazia ✍️✍️✍️

Pale umri utakaposonga na afya ikaanza kutetereka sababu ya uzee, na watoto wakapoteza muelekeo sababu ya kukosa malezi ya karibu ya baba, ndo utajua hujui, na itakuwa too late!!!
Achana na hizi porojo za wavulana za "...kataa ndoa"!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…