Sina hata morali kufundisha wajita hawa.

Comfucious pedagogy

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
211
Reaction score
39
nmesota sana mlimani miaka mitatu,nmepata kazi tena mbali na home cha ajabu nauli sijarudishiwa,hela ya kujikimu siku tatu, it doesn't sense kabisa.
 
vumilia hizo ndizo changamoto za kazi uliyoisomea!
 
Hiyo shule ni ya kijita? Mkikosa job shida, mmepewa shida bado; mnataka nini sasa?
 
Sasa wajita wamefanyaje bado sijaelewa..

Wachamae..😉
 
Hivi shule ikiwa ya kata unahisi kuna interection? yaani wadogo zangu hapa wote almost ni wajita.
 
Hata Mwalimu wako alipitia hayo unayoyapitia ndio maana ukaelimika! Jitahidi japo kurudisha fadhila mkuu
 
Akiwa mwalimu wa kiswahili hilo ni janga zaid!! Maana kizungu tu kachapia mara kibao! Huko UD sijui alitokaje!
 
Huwa hakuna vetting ya hawa walimu kabla hawajapangiwa hivyo vituo vya kazi? Kijana pambana Taratibu mambo ya shoti kati uliyokuwa umezoea huko hakuna mkuu. Unaanza chini tena kwa shida taratibu utazoea. Upo majita ipi labda ni kwetu nikupe details za watu hapo uwe unaenda japo kupata chochote cha kujikimu ilhali ukisubiria hayo mahela ya kujikimu
 
nmesota sana mlimani miaka mitatu,nmepata kazi tena mbali na home cha ajabu nauli sijarudishiwa,hela ya kujikimu siku tatu, it doesn't sense kabisa.
Jibu jepesi tu wapo walimu wengi hawajapata nafasi hizo nafasi mmepewa nyie wavivu na wazembe rudi nyumbani tafuta shamba anza kilimo cha mbogamboga acha kufundisha wataenda wenye moyo wa kazi,eti umesota miaka mitatu mlimani kwahiyo ulitaka upate elimu ukiwa umelala kitandani chumbani kwako watu wengine hovyo kabisa,kaa ukijua hakuna kazi isiyo na changamoto ukitaka kujua uzuri wa kazi kaa mtaani bila kazi baada ya miezi sitta njoo tena jf tupe repoti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…