Comfucious pedagogy
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 211
- 39
nmesota sana mlimani miaka mitatu,nmepata kazi tena mbali na home cha ajabu nauli sijarudishiwa,hela ya kujikimu siku tatu, it doesn't sense kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nmesota sana mlimani miaka mitatu,nmepata kazi tena mbali na home cha ajabu nauli sijarudishiwa,hela ya kujikimu siku tatu, it doesn't sense kabisa.
Hivi shule ikiwa ya kata unahisi kuna interection? yaani wadogo zangu hapa wote almost ni wajita.
hahaaaa! ebana jerry ngoja npate tsd namba, ni rudi njombe tu.
Ticha nakushauri usiweke kizungu kwenye comment zako!
Pole lakini, na wewe ujifunze kijita tu sasa
Jerry, hawa ndiyo aina ya walimu wanaokwenda kufundisha watoto wetu! Majanga.
No, huenda ni mwalim wa kiswahili
Unawajua walimu wa kiswahili? Au ni mwalimu wa somo la Kiswahili?
Usiwaadhibu Wajita, iadhibu serikali ya CCM kwenye uchaguzi ujao 2015nmesota sana mlimani miaka mitatu,nmepata kazi tena mbali na home cha ajabu nauli sijarudishiwa,hela ya kujikimu siku tatu, it doesn't sense kabisa.
Jibu jepesi tu wapo walimu wengi hawajapata nafasi hizo nafasi mmepewa nyie wavivu na wazembe rudi nyumbani tafuta shamba anza kilimo cha mbogamboga acha kufundisha wataenda wenye moyo wa kazi,eti umesota miaka mitatu mlimani kwahiyo ulitaka upate elimu ukiwa umelala kitandani chumbani kwako watu wengine hovyo kabisa,kaa ukijua hakuna kazi isiyo na changamoto ukitaka kujua uzuri wa kazi kaa mtaani bila kazi baada ya miezi sitta njoo tena jf tupe repoti.nmesota sana mlimani miaka mitatu,nmepata kazi tena mbali na home cha ajabu nauli sijarudishiwa,hela ya kujikimu siku tatu, it doesn't sense kabisa.