Jana, Yanga walitangaza kuwa tiketi 4,000 bado zilikuwepo kuuzwa, jambo ambalo linashangaza kwani si Rais wa Yanga kuuza tiketi 4,000 kwa muda mfupi sana. Leo, tukio limeonekana kama full house, na inadai kuwa tiketi hizo CCM wamezinunulia ili kuhakikisha watu wakawa wengi wanashuhudia mchezo huo. Ni jambo la kushangaza na la aibu kuona timu kubwa kama Yanga inasaidiwa kununuliwa tiketi ili kupata hadhira kubwa.
View attachment 3470332
Hapa sijakisia ni mtazmo tu!! mzee CCM inarudisha fadhila na kutaka kutumia jukwaa la leo kufanya kampeni kitu ambacho kwa simba kimeshaaa shindikanaKila kitu watu hawana imani si serikali wala familia zao.
Ndugu mtoa mada acha kukisia mambo ambayo huwezi kutolea ushahidi.
Mimi sio shabiki wa mpira, sipo Simba wala Yanga.
Ndo hizo tiketi 4000Naskia Leo makada kama 5000 hivi wapo siti za mbele kushangilia simu ya mama
Ndio siasa zenyewe mkuuWrite your reply...chadema mnajitahidi kueneza propaganda za *******
Vipi ile simba day mliyo mfanya mama kuwa mgeni rasmi?Hapa sijakisia ni mtazmo tu!! mzee CCM inarudisha fadhila na kutaka kutumia jukwaa la leo kufanya kampeni kitu ambacho kwa simba kimeshaaa shindikana