Sina imani hata kidogo na hii full house ya Yanga

Sina imani hata kidogo na hii full house ya Yanga

Vipi ile simba day mliyo mfanya mama kuwa mgeni rasmi?
vipi ile jezi iliyovaliwa na mama mkaipiga bei kwa mamilioni?
vipi kuhusu vile vitenge vya mama mlivyokuwa navyo juzi?
Wewe ulikuja uwanjani kweli? au uliangalia matukio kwenye tv? zungumzia matamasha haya mawili kwa kuzingatia kitachotokea leo kama hamjageuzwa uwanja kampeni za CCM
 
Lakini hilo halitufanyi kuacha kufanya kile walichofanya simba
 
Jana, Yanga walitangaza kuwa tiketi 4,000 bado zilikuwepo kuuzwa, jambo ambalo linashangaza kwani si Rais wa Yanga kuuza tiketi 4,000 kwa muda mfupi sana. Leo, tukio limeonekana kama full house, na inadai kuwa tiketi hizo CCM wamezinunulia ili kuhakikisha watu wakawa wengi wanashuhudia mchezo huo. Ni jambo la kushangaza na la aibu kuona timu kubwa kama Yanga inasaidiwa kununuliwa tiketi ili kupata hadhira kubwa.
Mmeamua kuwekeza kwenye malalamiko
 
Wananchiiiiiii
1757684214694.jpg
 
Na nyie chadema mngenunua tiketi ili wanachama wenu wanune wakati mama anapiga simu 😂
 
Sasa unabisha ulikuwepooooooooooooo😅😅😅
 
Back
Top Bottom