Sina imani hata kidogo na hii full house ya Yanga

Vipi ile simba day mliyo mfanya mama kuwa mgeni rasmi?
vipi ile jezi iliyovaliwa na mama mkaipiga bei kwa mamilioni?
vipi kuhusu vile vitenge vya mama mlivyokuwa navyo juzi?
Wewe ulikuja uwanjani kweli? au uliangalia matukio kwenye tv? zungumzia matamasha haya mawili kwa kuzingatia kitachotokea leo kama hamjageuzwa uwanja kampeni za CCM
 
Lakini hilo halitufanyi kuacha kufanya kile walichofanya simba
 
Mmeamua kuwekeza kwenye malalamiko
 
Na nyie chadema mngenunua tiketi ili wanachama wenu wanune wakati mama anapiga simu ๐Ÿ˜‚
 
Sasa unabisha ulikuwepooooooooooooo๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ