Sina imani na huyu mwakilishi wa UN naona kama wanamtandao wameshatuzidi kete

Sina imani na huyu mwakilishi wa UN naona kama wanamtandao wameshatuzidi kete

Wewe ulitegemea akuletee kitu gani?

Majeshi ya kupambana na mitutu ya wahalifu, akina Samia na Genge lake?

Huyo yupo hapa kuhakikisha wahalifu wanaendelea kukaa madarakani kwa kigezo cha kuwauzia maneno waTanzania. Hakuna la ziada ya hapo.

Wewe bado tu huelewi lugha inayotumika?

Taasisi hiyo imekuwa ni chombo kinachotumika tu kulinda ukandamizaji kila sehemu duniani katika miaka ya hivi karibuni.
 
Huyu mwakilishi wa UN sina Imani kutokana na UN ilivyosasa ni kama kikundi fulani cha wahuni na wahuni wanaweza kukitumia pia kuwalizisha wananchi wa nchi ya kusadikika na wasichukue hatua yoyote.
Wanamtandao wanataka kujisafisha kwa gaharama yoyote ile. Ila hii kama cdm wangechelewa wangeoshwa live
 
Angekuwa mzungu afadhali, lakini huyo Blackman ni sehemu ya matatizo ya demokrasia huku Africa.
 
Back
Top Bottom