Wewe ulitegemea akuletee kitu gani?
Majeshi ya kupambana na mitutu ya wahalifu, akina Samia na Genge lake?
Huyo yupo hapa kuhakikisha wahalifu wanaendelea kukaa madarakani kwa kigezo cha kuwauzia maneno waTanzania. Hakuna la ziada ya hapo.
Wewe bado tu huelewi lugha inayotumika?
Taasisi hiyo imekuwa ni chombo kinachotumika tu kulinda ukandamizaji kila sehemu duniani katika miaka ya hivi karibuni.