Sina imani na safari ya mume wangu, naomba ushauri

😂😂😂😂 Lakini mbona shuhuda za ndoa tamu ni chache kuliko zile za ndoa chungu,,,weeeee huu sio mtego kweli?
Nakwambia mimi kama wife mzoefu kabisa zaidi ya miaka 7 kwa ndoa..so relaax..changamoto hata huko usingoni mnazo au nadanganya mrembo..ww fata moyo wako na bahati yako itakapoangukia
 
what a good news,,apa sasa ndo penyewe asante sana.
 
Back
Top Bottom