Sina kumbukumbu nzuri ni mchezaji gani kwa miaka ya hivi karibuni amewai kufunga hat trick kwenye derby! Azizi Ki kathibitisha ubora wake!

Sina kumbukumbu nzuri ni mchezaji gani kwa miaka ya hivi karibuni amewai kufunga hat trick kwenye derby! Azizi Ki kathibitisha ubora wake!

Sopu alitufunga kwenye mechi ya derby? Rudia kusoma tena Uzi uelewe unamaanisha Nini! Sopu alitufunga 3 akiwa coastal union, tokea lini coastal union na yanga ikawa derby???
Derby ni moja tu hakunaga derby mbili wala tatu.
 
Alafu bado Azam wakicheza na Simba utasikia derby.
Wanajaribu kumtengenezea derby na yeye

Nadhani vibe la Azam vs Yanga haliifikii vibe la Ihefu vs Yanga

Yanga na Ihefu ilifaa nayo iwe derby

Japo sijui itaiitwa jina gani
 
Sina iyo kumbukumbu labda mwenye nayo atujuze, hat trick kwenye derby sio jambo la kitoto eti ni mpaka uwe Bora aswaa na uwe fiti kwa 100%.

Mchezaji aliyekamilika atapimwa kwenye mechi ngumu Kama hizi za Yanga na Azam, ama Yanga na Simba, maana ni mechi ambazo uwezi pewa nafasi na mpinzani utambe unavyotaka ukibahatisha kuscore labda kagoli kamoja na kenyewe uwe umefanya kazi ya ziada!

Sasa Mwamba wa wagadugu Stephen Aziz key Leo KATHIBITISHA kwamba ni level nyingine, ni kipaji plus uwezo plus akili kubwa ya kuufanyia mpira uuone Kama vile ni mchezo rahisi tu, alijitafuta na amejipata na uyu ndiye yule aliyekuwa Asec mimosas!

Kufunga hat trick unaweza kwenye mechi za wakina coast union ama mtibwa sugar na sio derby wazee!

N:B KAMA KUFUNGA HAT TRICK KWENYE DERBY BASI MWAKAROBO TUNAWASUBILIA KWA HAMU MUIVUNJE REKODI YA MWAMBA WA WAGADUGU[emoji2785][emoji2785][emoji2785][emoji360][emoji360][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
We jamaa huna medulla, zamoyoni ashawahi watungua Uto Tatu na hukufikiria Sopu ashawahi watengua 3 Uto tena juzi kati tu
 
We jamaa huna medulla, zamoyoni ashawahi watungua Uto Tatu na hukufikiria Sopu ashawahi watengua 3 Uto tena juzi kati tu
We mbumbumbu acha kudanganya watu, kwanza costal hana Derby na Yanga, Zamoyoni Mogela nakukumbuka katika uchezaji wake wote akiwa simba aliwahi kufunga goli moja tu dhidi ya Yanga katika sare ya 1-1 Yanga ilisawazisha kupitia Abeid Mziba.

Mogela pamoja na umahili wake akiwa Simba alikua akidhibitiwa kwa ufasaha kabisa na Sentaafu waTanga pindi zunapokutana jamaa alikua akiitwa Athuman Juma Chama (Jogoo)
 
We jamaa huna medulla, zamoyoni ashawahi watungua Uto Tatu na hukufikiria Sopu ashawahi watengua 3 Uto tena juzi kati tu
Akili zako zimejaa kamasi wewe mbumbumbu, umesoma Uzi vizuri? Uyo sopu alifunga kwenye mechi ya nani na Nani? Tokea lini mechi ya coast na yanga ikawa derby? Na uyo zomoyoni unayemsema iyo hat trick alifunga miaka mingapi imepita? Ndio maana mnaferi mitihani ujasoma swali vizuri unakimbilia kujibu🚮🚮🚮
 
Akili zako zimejaa kamasi wewe mbumbumbu, umesoma Uzi vizuri? Uyo sopu alifunga kwenye mechi ya nani na Nani? Tokea lini mechi ya coast na yanga ikawa derby? Na uyo zomoyoni unayemsema iyo hat trick alifunga miaka mingapi imepita? Ndio maana mnaferi mitihani ujasoma swali vizuri unakimbilia kujibu[emoji706][emoji706][emoji706]
Hata hivyo Zamoyoni hajawahi kufunga hizo goli Tatu zaidi ya kibadeni

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Sopu alitufunga kwenye mechi ya derby? Rudia kusoma tena Uzi uelewe unamaanisha Nini! Sopu alitufunga 3 akiwa coastal union, tokea lini coastal union na yanga ikawa derby???
Kuwaelewesha Mbumbumbu lazima uvute bangi kali sana iliyochanganyika na kinyesi ndipo utaendana nao sawa, la sivyo jiandae kuhisi njaa kali sana.
 
Hakuna kitu Cha ajabu hapo maana Goli la Feitoto CCM Kirumba bado halijalipwa! Dogo alifumua shuti kutoka katikati ya uwanja hadi goli na ndo hapo mlifanya figisu dogo asicheze tena mpira wa kiwango! Leo Feitoto alipuyanga tu!

Goli la Kibu lilifungwa Yanga wakiwa hawako mchezoni baada ya Simba kufunga goli la kwanza la kimagumashi kwa kuanzisha kona bila filimbi ya refa mkivizia wachezaji wa Yanga wanapokea maelekezo ya refa!

Mwambieni Kibu afunge tena kama ataweza mbele ya mwamba Bacca ambae hakucheza siku Ile!! Mnajisiiifu wakati hakuna cha ajabu pale!
Makolokolo SC ni mapoyoyo sana, Bado yanajisahaulisha jinsi Aziz Ki alivyomtesa kipa wao Manura kwa shuti kali la faulo.

Pia King Mayele alichambua Wachezaji zaidi ya Watu akimalizia tobo kwa Inonga na Kipa kwenye ngao ya hisani [emoji847]
 
Ubora kwa Azam tu mbona kwa Ihefu hakuwa bora? Au huwa ana ubora kama vipindi vya homa!
 
Back
Top Bottom