Sina kumbukumbu nzuri ni mchezaji gani kwa miaka ya hivi karibuni amewai kufunga hat trick kwenye derby! Azizi Ki kathibitisha ubora wake!

Sopu alitufunga kwenye mechi ya derby? Rudia kusoma tena Uzi uelewe unamaanisha Nini! Sopu alitufunga 3 akiwa coastal union, tokea lini coastal union na yanga ikawa derby???
Derby ni moja tu hakunaga derby mbili wala tatu.
 
Alafu bado Azam wakicheza na Simba utasikia derby.
Wanajaribu kumtengenezea derby na yeye

Nadhani vibe la Azam vs Yanga haliifikii vibe la Ihefu vs Yanga

Yanga na Ihefu ilifaa nayo iwe derby

Japo sijui itaiitwa jina gani
 
We jamaa huna medulla, zamoyoni ashawahi watungua Uto Tatu na hukufikiria Sopu ashawahi watengua 3 Uto tena juzi kati tu
 
We jamaa huna medulla, zamoyoni ashawahi watungua Uto Tatu na hukufikiria Sopu ashawahi watengua 3 Uto tena juzi kati tu
We mbumbumbu acha kudanganya watu, kwanza costal hana Derby na Yanga, Zamoyoni Mogela nakukumbuka katika uchezaji wake wote akiwa simba aliwahi kufunga goli moja tu dhidi ya Yanga katika sare ya 1-1 Yanga ilisawazisha kupitia Abeid Mziba.

Mogela pamoja na umahili wake akiwa Simba alikua akidhibitiwa kwa ufasaha kabisa na Sentaafu waTanga pindi zunapokutana jamaa alikua akiitwa Athuman Juma Chama (Jogoo)
 
We jamaa huna medulla, zamoyoni ashawahi watungua Uto Tatu na hukufikiria Sopu ashawahi watengua 3 Uto tena juzi kati tu
Akili zako zimejaa kamasi wewe mbumbumbu, umesoma Uzi vizuri? Uyo sopu alifunga kwenye mechi ya nani na Nani? Tokea lini mechi ya coast na yanga ikawa derby? Na uyo zomoyoni unayemsema iyo hat trick alifunga miaka mingapi imepita? Ndio maana mnaferi mitihani ujasoma swali vizuri unakimbilia kujibu🚮🚮🚮
 
Hata hivyo Zamoyoni hajawahi kufunga hizo goli Tatu zaidi ya kibadeni

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Sopu alitufunga kwenye mechi ya derby? Rudia kusoma tena Uzi uelewe unamaanisha Nini! Sopu alitufunga 3 akiwa coastal union, tokea lini coastal union na yanga ikawa derby???
Kuwaelewesha Mbumbumbu lazima uvute bangi kali sana iliyochanganyika na kinyesi ndipo utaendana nao sawa, la sivyo jiandae kuhisi njaa kali sana.
 
Makolokolo SC ni mapoyoyo sana, Bado yanajisahaulisha jinsi Aziz Ki alivyomtesa kipa wao Manura kwa shuti kali la faulo.

Pia King Mayele alichambua Wachezaji zaidi ya Watu akimalizia tobo kwa Inonga na Kipa kwenye ngao ya hisani [emoji847]
 
Ubora kwa Azam tu mbona kwa Ihefu hakuwa bora? Au huwa ana ubora kama vipindi vya homa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…