Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Nachekaga sana na hizi.maneno yenu...Kwa sababu tumememuaibisha shetani na malaika zake ukiwemo wewe. Moto wetu hauzimwi na wala hautazimwa na chochote hapa duniani mpaka Yesu anarudi kuja kuchukua kanisa lake. Nakushauri uokoke tu na kumkabidhi Yesu njia zako, vinginevyo unapoteza muda tu kupiga vita watu waliokombolewa kwa damu ya Yesu