diamond d
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 812
- 2,048
Serious unataka kujua kuna maombi yapi na yapi?Kwan kuna maombi yapi na yapi
Mwanao alishawahi kulazwa na kuwa mahututi kabisa?
Ulishawahi kuhisi uko katika hali ya kufa?
Ulishawahi kupoteza kila kitu chako, hata kuhofia tu?
Ulisha wahi kukosa tumaini la kuishi?
MUNGU NDIO ANAYETOA HAYO YOTE, NDIO MAANA TUNAOMBA KWA KULIA NA KUOMBOLEZA ATUPE HAYO.