Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Hivi kuzungumza na Mungu ni mpaka upige makelele? Unamfokea Mungu? Baba yako mzazi unaweza kumuongelesha kwa makelele hivyo? Hii ndio sababu wachungaji wa haya makanisa wanahitaji elimu ya tholojia walau level ya diploma.