Ni kweli lakini sitaki adondokee kwa matapeli,lakini pia natafuta sababu kutoka kwake yeye sipati maana ikipigwa simu anaweka loudspika na kuongea bila kuficha ficha au kupuuzia simu.Em muache tu binti wa watu, she deserves someone better than u. Usijitafutie machozi ya laana, muache aende ambapo upendo wake utathaminiwa. Hastahili hayo anayoyapata kutoka kwako.
Nilioa nimeachana na mke wangu ila nikimaliza nyumba ninayojenga peke yangu sasa hv ntamrejea.sasa nikimaliza nyumba ntamweka wapi maana nataka nibaki na mama wa mtoto wangu ambYe tabu na kero zake nilizizoea kikubwa mtoto apate malezi ya wazazi wawili.Mkuu huyo ndio mwananke material kwako ila naona unafanya booking ya matatizo.
Salam,
Kuna dada anamiaka 30 ni mzuri,msafi na anajua kumiliki nyumba vizuri (mchaga)tatizo ni dini na kumwambia sina malengo nae nashindwa kwani kila nkichepuka nakutana na vitoto vidogo visivyo elewa maisha basi nabaki na mchaga wangu.ila natamani achepuke yeye nimuache na maisha yake haitokei hiyo nafasi,basi natamani niuze namba watu wamtokee wamuoe ila naona anaweza dondokea kwa matapeli wa mapenzi.sijui namsaidieje?
Ushauri.

Nahitaji assuarance yako kabla ,kwangu mimi ilikuwa ukija pako ovyo,toka niwe nae mavumbi kwenye meza na vioo hukuti,jikoni ukuti chombo kilicholala bila kuoshwa,mashuka yanatolewa kila wiki 2,nguo zilizofuliwa anazikunja vuzuri kabatini we ukifika ni kutoa tu.actual nammkubali sana na naishukuru familia yake ya askari magereza(baba) kwa kumfunza binti yao.Naona atakayekua mke wangu wa ndoa unaye wewe unamchezea sio fair
Nilioa nimempumzisha mke wangu ,na ntamrejea mke wangu baada ya kujenga nyumba yangu ya pekee bila ya yeye(aliyekuwa mke).huyu sio kwamba simpendi bali namuhurumia maana sina lengo nae la kudumu na kwa jinsi alivyo sipendi ateseke wakati mimi nipo(nampenda sana ).na unaanzeje kusema ,hiyo topic hatuongeleaji na yeye ana subiri nitoe maamuzi baada ya huduma zote hizo.Ilikuaje mpaka ukawa nae etii sasa ndo humpndi serious....utakufa njaa mjini hapa kama unajifunza kuchepuka achaa jambafffu wewe
Salam,
Kuna dada anamiaka 30 ni mzuri,msafi na anajua kumiliki nyumba vizuri (mchaga)tatizo ni dini na kumwambia sina malengo nae nashindwa kwani kila nkichepuka nakutana na vitoto vidogo visivyo elewa maisha basi nabaki na mchaga wangu.ila natamani achepuke yeye nimuache na maisha yake haitokei hiyo nafasi,basi natamani niuze namba watu wamtokee wamuoe ila naona anaweza dondokea kwa matapeli wa mapenzi.sijui namsaidieje?
Ushauri.
Maisha haya huwezi jua kila kitu,kama wewe umeanza mapenzi toka una miaka nane najua utawadharau walioanza mapenzi wakiwa watu wazima.
Now you know. . . . . . .Hajawahi lakini nimeanza ujenzi wa nyumba kwa mara ya kwanza naishani mwangu ananishauri vingi kama mke wangu.na vyengine huwa anaona mbali sana na kunishauri maana ana upeo mkubwa wa akili na ujanja wa kuzaliwa.
Kuwa mwanaume umwambie ukweli tu kuwa huna mizuka nae.
atamwambiaje wakati ndiyo anamuweka mjini
Yapo mengi maana mimi ni mfanyakazi yeye ni graduate wa diploma,vitu vingi nimempa mpaka microwave,na nimempeleka veta kujifunza gari na nampa gari yangu kwa mazoezi kwa sasa,kila mwezi nampa pocket money ya kutosha na nikienda shopping ni kama nipo na mke wangu achague chake na ananishauri mwonekano wangu kwenye nguo,na kunifanya nionejane smart kila leoIs not fear kbsa kama utaweza n vyema ukalipa gharam zote alizokufanyia au ni bora ukamfnyia vitu ambvyo angalau uwe umemuacha katka mazngra fulan mazur
Kwa sababu ana miaka 30 au? So watu wa umri huo hawana real love?