ofisa
JF-Expert Member
- May 15, 2011
- 4,340
- 4,069
- Thread starter
- #21
Ni kweli lakini sitaki adondokee kwa matapeli,lakini pia natafuta sababu kutoka kwake yeye sipati maana ikipigwa simu anaweka loudspika na kuongea bila kuficha ficha au kupuuzia simu.Em muache tu binti wa watu, she deserves someone better than u. Usijitafutie machozi ya laana, muache aende ambapo upendo wake utathaminiwa. Hastahili hayo anayoyapata kutoka kwako.
Na mkiingua ndani dk tano anakuandalia matunda anaweka ndani ya frig ukimaliza kuoga tayari yana kaubalidi akienda yeye kuoga akirudi unapewa matunda mezani yakiwa yanaubaridi wa kupoza koo.yaani ni raha tu.