Sina malengo naye lakini ukarimu wake unaniweka pazuri


hujabalehe wewe...
mwache aende zake kama humpendi she s faithful to you , m sure anawatolea nje wengine coz of you mazafanta !
LET HER GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO !
 
we kwann ulimtongoza acha kucheza na hisia za watu wewe. Kama unajua maumivu ya moyo yanavyoumq ni bora usitongoze mwenye kujua huna mda naye. Ni vyema utembelee kimboka bar,shivaz nk
Aisee nipo mkoani ,niliwahi fanya hayo huko nyuma nilikutana na mtu ana makalio magumu kama vile amevaa jinsi kumbe ni kalio zimekomaa balaa kwa mapele na ukurutu wa ngozi ,from there niliona niache vya chap chap.
 
Don't continue waste her time.. Kuna watu huko nje anawakataa cz of you.. Muache mapema aendelee na maisha yake

Ntaandaa plan B halafu nifanyie kazi si unajua ukitaka kuruka.......
 
wewe mwenyewe ni tapeli wa mapenzi

Kuna hisia nyengine huwaweka karibu bila plan,mfano yeye anaiponda dini yangu lkn ananipenda.hanywi pombe lakini anakuambia yeye anajua mwanaume kunywa pombe ndio anakuwa poa.
 
haa haa daah hio ni hataree mkuuu kaa kapanga vipande vya mbao kumbe tako.
 
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…