Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Ajoke alitelekezwa na mama yake kakiwa kachanga.
Yaani kalitupwa uchochoroni na kuachwa na mama yake mzazi.
wasamalia walikaokota na kukapeleka Polisi.
Watu wakamweleza T.B.Joshua, akaenda Polisi akakachukua kwa maandishi na kukalea.
Akakasomesha hadi kalipogoma kuendelea kusoma.
Akakapa mtaji ili kukawezesha kujitegemea.
Huko kakaishi maisha kanayo yajua kenyewe.
Kakaolewa kakazaa watoto, na mwisho wake ndio hako kanako ongea BBC.
Labda kalitaka kapewe Urithi wa familia ya Joshua.
Hiyo ndiyo shukrani ya Punda mnayoisikia.