Dhahebu ni kama unavyosikia Wakristo wa Mbagala.
Wakristo wa Kolosai, Tetholanike, Garatia, Roma, Uphilipino, (wafilipi)
Kanisa la Efeso nk.
Hiyo ni majina ya miji au mitaa au kabila flani.
Hilo ni jambo la kutambuana tu.
Ila ni lazima wawe na imani ya Kristo.
Imani ya Kristo ni kusikia Neno la Kristo tu.
Kila jambo la Kikristo ni lazima tusikilize Kristo alivyosema juu ya hilo jambo, zaidi ya hapo ni imani ya Kipagani.
Warumi (Rom) 10:17
Basi imani, chanzo chake ni kusikia; na kusikia huja kwa neno la Kristo.
Papa sio Mkristo.
Ni Mromani Cathoric.
Katika mji wa Roma Kuna Wakristo wanao lisikia na kulifuata Neno la Kristo, ila sio Papa.
Mathayo (Mat) 7:24
Basi kila asikiaye hayo maneno yangu, na kuyafanya, atafananishwa na mtu mwenye akili, aliyejenga nyumba yake juu ya mwamba;
Mathayo (Mat) 7:26
Na kila asikiaye hayo maneno yangu asiyafanye, atafananishwa na mtu mpumbavu, aliyejenga nyumba yake juu ya mchanga;
Mathayo (Mat) 24:35
Mbingu na nchi zitapita; lakini maneno yangu hayatapita kamwe.