Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Neno dhehebu ni dini ya shetani moja kwa mojaView attachment 2888142
Wengi wetu tunamkumbuka TB Joshua na huduma yake ya ki kanisa.
TB Joshua aliaminika na watu wengi sana Africa na duniani kama nabii wa Mungu.
Mimi kama mfatiliaji sana wa biblia, TB Joshua alikuwa nabii wa uongo. TB Joshua amechangia pakubwa sana kuharibu ufalme wa Mungu.
Biblia inasema wazi kwamba siku za mwisho manabii wengi wa uongo watatokea na kudanganya wengi (Mathayo 24:11).
Haya mahubili ya mafuta ya upako, maji ya upako muasisi mkubwa kizazi hiki ni TB Joshua. Hawa manabii wa mafuta, maji ya upako wamemuiga TB Joshua.
Hawa manabii wanafanya Mambo machafu sana sirini. Tuhuma dhidi ya TB Joshua Sina mashaka nazo maana alikuwa nabii wa uongo.
Maelekezo ya Yesu juu ya maombi ni kwamba tuombe kwa jina la Yesu. Ukiomba nje ya hapo umepotoka.
Tusome maandiko wenyewe kuliko kulishwa matango poli na hawa manabii wa uongo.
Dhahebu ni kama unavyosikia Wakristo wa Mbagala.Neno dhehemu ni dini ya shetani moja kwa moja
Mtoa mada tuambie hapa ni Mchungaji gani au Padre gani au Papa gani uliye mtathimini na kumwona ni wa ukweli ili tumsikilize.View attachment 2888142
Wengi wetu tunamkumbuka TB Joshua na huduma yake ya ki kanisa.
TB Joshua aliaminika na watu wengi sana Africa na duniani kama nabii wa Mungu.
Mimi kama mfatiliaji sana wa biblia, TB Joshua alikuwa nabii wa uongo. TB Joshua amechangia pakubwa sana kuharibu ufalme wa Mungu.
Biblia inasema wazi kwamba siku za mwisho manabii wengi wa uongo watatokea na kudanganya wengi (Mathayo 24:11).
Haya mahubili ya mafuta ya upako, maji ya upako muasisi mkubwa kizazi hiki ni TB Joshua. Hawa manabii wa mafuta, maji ya upako wamemuiga TB Joshua.
Hawa manabii wanafanya Mambo machafu sana sirini. Tuhuma dhidi ya TB Joshua Sina mashaka nazo maana alikuwa nabii wa uongo.
Maelekezo ya Yesu juu ya maombi ni kwamba tuombe kwa jina la Yesu. Ukiomba nje ya hapo umepotoka.
Tusome maandiko wenyewe kuliko kulishwa matango poli na hawa manabii wa uongo.
Ni mhubiri mmoja mpigaji ana kanisa lake pale "Weka" halafu ni Mbu-Nge wa chama chetuNdio nani huko daslam huyo Joshua kwani??
Mimi nadhani kipimo kikubwa ni neno la Mungu. Kwa mfano ktk Mathayo 10:8 inasema kuwa "pozeni wagonjwa, fufueni wafu,.. mmepata BURE toeni BURE" Nabii anayeuza vipawa, au vifaa vya kiroho (spiritual items) kama mafuta, maji, chumvi, vitambaa, udongo, bila kupepesa macho huyo ni mtumishi wa UONGO.Kwani hiyo BBC toka lini ilihubiri habari za Yesu Kristo, hadi uiamini? Kwani wewe unaihitaji BBC kujua kama nabii ni wa uongo au kweli?
Ikiwa BBC imetaja nabii wa uongo, ni nabii gani BBC ilisema ni wa kweli? Biblia ilikwambia utawatambua manabii wa uongo kupitia BBC?
Kalaga baho.
Kumbuka hata Yesu mwenyewe Kuna siku alitumia udongo kumpaka Kipofu machoni na kumwambia nenda kaoshe katika Kisima cha Ibrahimu kilichoitwa Salom.Mimi nadhani kipimo kikubwa ni neno la Mungu. Kwa mfano ktk Mathayo 10:8 inasema kuwa "pozeni wagonjwa, fufueni wafu,.. mmepata BURE toeni BURE" Nabii anayeuza vipawa, au vifaa vya kiroho (spiritual items) kama mafuta, maji, chumvi, vitambaa, udongo, bila kupepesa macho huyo ni mtumishi wa UONGO.
Mtumishi wa Bwana.Ndio nani huko daslam huyo Joshua kwani??
Ulichoona baada ya kuangalia ndicho nilichooka,so itakuwa tulichoona kina mantikiOkay nitafanya hivyo kama kuna info mpya maana nilitazamaaa nikaona ni tuhuma za kipuuzi puuzi tu watu wanaongea
Yan ni stupid nonsese isssues ambazo just any idiot can cookUlichoona baada ya kuangalia ndicho nilichooka,so itakuwa tulichoona kina mantiki
Maelekezo ya yesu mwenyewe ni kwamba tuombe kwa jina lakeKumbuka hata Yesu mwenyewe Kuna siku alitumia udongo kumpaka Kipofu machoni na kumwambia nenda kaoshe katika Kisima cha Ibrahimu kilichoitwa Salom.
Ishu ni kuwa na uwezo wa kumtambua Kiroho.
Utamjuaje Mtumishi wa ukweli kama sio Mtu wa Mungu?
Hapo ndipo penye shida.
Hapo ndipo panapo kuja na Matusi na Kejeri.
Kwa hiyo tatizo lako ni biashara yake, sio maudhui ya mahubiri yake, au sio?unadhani angehubiri chuki na ugaidi hiyo biashara ingeenda vizuri?
Umeathirika kwa kiwango kipi kutokana na utapeli wa TBJ?Mimi nadhani kipimo kikubwa ni neno la Mungu. Kwa mfano ktk Mathayo 10:8 inasema kuwa "pozeni wagonjwa, fufueni wafu,.. mmepata BURE toeni BURE" Nabii anayeuza vipawa, au vifaa vya kiroho (spiritual items) kama mafuta, maji, chumvi, vitambaa, udongo, bila kupepesa macho huyo ni mtumishi wa UONGO.
Umetisha mkuu🤣🤣Ni mhubiri mmoja mpigaji ana kanisa lake pale "Weka" halafu ni Mbu-Nge wa chama chetu
Kwani T.B. Joshua alikuwa anaomba kwa jina la nani?Maelekezo ya yesu mwenyewe ni kwamba tuombe kwa jina lake
Kama alikuwa anayafanya hayo niliyoyasema, basi alitumiwa na adui kuharibu injili ya Kristo. Pia amewadanganya watu wengi kama ambao wameamini ktk uongo na tunasumbuka nao kama hivi.Umeathirika kwa kiwango kipi kutokana na utapeli wa TBJ?