Knock life
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 2,465
- 7,764
" Sina mpango wa kuoa kwa sasa bado nadebedesha." Pawpaw
Muigizaji nguli kutoka kiwanda cha Nollywood kule Nigeri Osita Iheme maarufu kama Ukwa au Pawpaw, amesema kua Hana mpango wa kuoa wala kupata watoto.
“Nina miaka 43 tayari, sina mpango wa kuoa, nataka tu kuishi maisha yangu na kuwasaidia wale waliokaribu nami. Ndugu zangu wa kiume na wa kike wana watoto, nawaona kama watoto wangu,” amesema Osita Iheme
Licha ya kuwa na utajiri wa zaidi ya dola milioni 3 za Kimarekani Pawpaw ameamua kubaki mwenyewe bila mke wala na watoto kaamua kuendelea kudebedesha katika mitaa ya Lagos Nigeria.