Sina mzuka na mamito wangu...

wenyewe wanasema usawa unakaba na rafiki wa kweli ni baba na MAMA hao wengine wala usiwaamini kwani binadamu wa sasa wana roho saba..prof jay aliimba hivyo...pole sana

ahsante
 
Mine is deeper na mbaya zaidi najua chanzo ambacho nashindwa kukisahau na kukifuta. Post ya dDa Mkubwa King'asti imenigusa sana isipokuwa tu ni kuwa pamoja na uzee huu nilonao bado...............I think I need a big therapy

pole mpenzi
 

Inabidi achukue ushauri huu na aufanyie kazi
 

Ahsante sana kwa ushauri wako....
na pole kwa kumpoteza mummy ako may her soul rest in peace.
 

Haya mpendwa nashukuru kwa maneno yako
najitahidi nifanye hivo...
 

Si kosa lako, Alisema Sigmund Freud katika psychology.
Google hii kitu,
^ https://en.wikipedia.org/wiki/Electra_complex ^ na Oedipus complex - Wikipedia, the free encyclopedia
 

Ndo mawazo yake yalivo siwezi kuyabadili wala hayawezi kunibadili
najijua vizuri am a good daughter wala sijawahi kuwa na dharau mie.....
na nnachokiongea hapa si kuwa namchukia mami angu au nna ugomvi nae
wenye kunielewa wamenielewa ambao hawajaelewa wataelewa taratibu wakitaka kuelewa.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…