Jambo hili mi linanikosesha amani,
nishajaribu mara kadhaa kujenga ukaribu bila mafanikio, kama vile kujizoesha atleast kuwa namtext nikiwa mbali
lakini haichukui hata wiki naacha na huwa nakuwa mzito sana kumpigia simu.
Huwa natamani sana watu wanaoishi na mama zao kama rafiki zao kwangu mie tofauti kabisa sio kuwa simpendi ila tu ule mzuka nae ndo sina hata nikiwa na shida siwezi kumshirikisha.
I love much my daddy bahati mbaya alishatangulia mbele za haki (R.i.p my lovely one)
Ushauri please nifanyeje nijenge ukaribu nae
Kaunga naomba uniambie kitu....
(Matusi na kejeli sitaki hili jambo linaniumiza mie kama hujisikii kushauri uache)
Nawatakieni weekend njema!!!!!