Sina nia mbaya, naomba kujua Elimu ya Babu Tale

Kuna pesa ya bure.. Ila Bongo hamna tofauti ya ngumbaru na phd
 
Hawa wabunge wangetakiwa walipwe Kama waalimu wa shule za msingi alafu tuone Kama wangekimbilia huo ubunge
 
Mbunge kuwa na elimu kubwa haimaanishi kwamba ndo ataleta maendeleo
 
Ameishia Darasa la 6 (A)

Alikuwa anakuwa wa 3 midterm
 

Kila nikisikia haya maneno Naona aibu mimi , c bora awe anakaa kimya tu , anazid kututia hasira mbwa huyu , na laana ya kumtoa kafara mke wake itaendelea kumtafuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…