Sina nia mbaya, naomba kujua Elimu ya Babu Tale

Sina nia mbaya, naomba kujua Elimu ya Babu Tale

Hata alieenda chuo ana nafuu. Au alipitiaga MEMKWA akatoroka!!?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimecheka kwa nguvu looh
 
T
Wananchi wanaochagua ndio waamuzi kwenye Elimu yake, Maana hapo katika lake walikuwemo wagombea wenye Elimu yaJuu na Sifa nyingine nyingi, Mwisho w siku raia wakaona Babu tale ndio mwenye dira ya hilo jimbo.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Viongozi wetu wanaakisi jamii iliyobaki...
Yaani watu wazima kabisa na akili zao walipanga foleni na kumpitisha huyo jamaa!!
 
Wananchi wanaochagua ndio waamuzi kwenye Elimu yake, Maana hapo katika lake walikuwemo wagombea wenye Elimu yaJuu na Sifa nyingine nyingi, Mwisho w siku raia wakaona Babu tale ndio mwenye dira ya hilo jimbo.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Aliemuona bora ni magu sio wNanchi
 
Std 7. But ana akili sana, sometimes watu hukosa elimu kubwa kwa sababu mbalimbali Ila deepdown wana akili sana kwenye angle zingine
 
Hapo bungeni ilibidi MTU aende akiwa Ana angalau cheti cha form four na sio kama ilivyo hivi sasa.
 
Back
Top Bottom