Sina nia mbaya, naomba kujua Elimu ya Babu Tale

Pengine ana degree ya uchawa kutoka chuo cha machawq
 
Kuwa mbunge tz we juwa kusoma na kuandika tu

Ova
 
Shukrani kwa wote. Hivi kwanini hii nchi mtu akiwa na influence kidogo tu anakimbilia siasa? Wasanii, Comedian waigizaji wote wanataka Ubunge, hivi wana uelewa wa kutosha kuwapa dhamana ya kutuwakilisha bungeni kweli?

Unaweza kuwa mzuri kwenye muziki lakini haimaanishi hata kwenye ubunge unatosha hapana. Tupambane sana tupate tu katiba mpya maana,tunajidhalilisha sana.

Mbona Musukuma ni STD7 lakini ana point za kuwakilisha jamii? Nikipata CV yake na quote zake mbalimbali labda kwenye mitandao ni sawa pia.
Unga unga mwana!..wabunge wa mbeleko hao
 
Darasa la 5
 
Kaka yake Abdul bonge alikuwa jamaa yangu sana (rip)
Kwa heshima yake hakuna haja ya kumnanga b tale 😄

Ova
 
Back
Top Bottom