Sina raha kinyesi changu kinatoa harufu mbaya sana

Unakaa chumba cha kupanga?

Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
 
Acha kula vyakula vibovu
 
Umetahiriwa?

 
You are what you eat, hizi spacy food kama pilau, pombe zote hata beer huleta harufu mbaya kwenye haja kubwa, punguza ulaji wa nyama hasa red meat. Umeshawahi kujiuliza kwanini mifugo inayokula majani unaweza kulala nayo ndani. Unaweza kulala na ng'ombe, mbuzi na kondoo lakini huwezi kuvumila kinyesi cha mbwa au paka? Dawa ya kupata choo kisicho na harufu ni kula fruits and vegetables.
 
..usilundike ma.vi...alafu kula matunda na mboga ili unye mara kwa mara...Pima typhoid...pia cancer... Usikute utumbo unaoza kwa cancer(colorectal cancer).... Ungekua jike ningekwambia upime STDs..ama cancer ya kizazi(cervical cancer)...kuvimbiwa pia hunukisha...ila huambatana na kujambisha....
 
Uanajua wee jamaa umenchesha mpaka nimepaliwa, kwa hiyo ratiba ya ukataji gogo imebadilika kutokana na harufu [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Uwe na Tabia ya kunywa maji, kunywa maji walau Lita 3-4 kwa Siku, baada ya Siku choo haitatoa tena halfu mbaya. Tunywe maji jamani!!!!!
 
Labda ni dalili ya ugonjwa fulani wa organ...kafanye uchunguzi wa kina hospitali.
 
Kama unataka kinyesi chako kinukie labda waone wadada wa bongo muvi wanaweza kuwa na ushauri wa maana, maanake wanvyojiwekaweka na wanavyoongea kwa kujishebedua inawezekana vinyesi vyao vikawa vinanukia harufu ya mananasi,embe dodo au mastafeli!
 
Utakua unakula vibudu
 
Pole sana mkuu. Wawezawasiliana na mwana if mmoja ajulikanaye kwa jina la dmkali ambaye aliwahi kukumbwa na dhahama iliyompelekea kumogoa kwa vidole hiyo mambo kwa ushauri zaidi. Naamini atakusaidia sana!
 
mkuu usipende kula ovyo usiwe unachanganya changanya vyakula mara umekula mayai mara maindi mara maziwa mgando mara parachichi mara........
 
Sina mbavu mie!!!. Watu wengine ni makomedi aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…