Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Acha kushindia soda na mikate
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakaa chumba cha kupanga?Habari za jioni ndugu zangu kwa kwl mwenzenu naadhirika kutokana na harufu ninayoitoa nkienda haja kubwa ni mbya kupita maelezo hata nitumie manukato vipi badoo yani sina raha nkitoka chooni nakuta watu wametoka nje kupunga upepo pia nnakuwa na harufu mbya jaman mke mpk anataaka kurud kwao tatz nn wakuu maana sasa iv nakata gogo saa tisa kila mtu kalala
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kunywa maji mengi halafu epuka kula mchanganyiko wa viporo
Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
Acha kula vyakula vibovuHabari za jioni ndugu zangu kwa kwl mwenzenu naadhirika kutokana na harufu ninayoitoa nkienda haja kubwa ni mbya kupita maelezo hata nitumie manukato vipi badoo yani sina raha nkitoka chooni nakuta watu wametoka nje kupunga upepo pia nnakuwa na harufu mbya jaman mke mpk anataaka kurud kwao tatz nn wakuu maana sasa iv nakata gogo saa tisa kila mtu kalala
Habari za jioni ndugu zangu kwa kwl mwenzenu naadhirika kutokana na harufu ninayoitoa nkienda haja kubwa ni mbya kupita maelezo hata nitumie manukato vipi badoo yani sina raha nkitoka chooni nakuta watu wametoka nje kupunga upepo pia nnakuwa na harufu mbya jaman mke mpk anataaka kurud kwao tatz nn wakuu maana sasa iv nakata gogo saa tisa kila mtu kalala
Uanajua wee jamaa umenchesha mpaka nimepaliwa, kwa hiyo ratiba ya ukataji gogo imebadilika kutokana na harufu [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Habari za jioni ndugu zangu kwa kwl mwenzenu naadhirika kutokana na harufu ninayoitoa nkienda haja kubwa ni mbya kupita maelezo hata nitumie manukato vipi badoo yani sina raha nkitoka chooni nakuta watu wametoka nje kupunga upepo pia nnakuwa na harufu mbya jaman mke mpk anataaka kurud kwao tatz nn wakuu maana sasa iv nakata gogo saa tisa kila mtu kalala
Uwe na Tabia ya kunywa maji, kunywa maji walau Lita 3-4 kwa Siku, baada ya Siku choo haitatoa tena halfu mbaya. Tunywe maji jamani!!!!!Habari za jioni ndugu zangu kwa kwl mwenzenu naadhirika kutokana na harufu ninayoitoa nkienda haja kubwa ni mbya kupita maelezo hata nitumie manukato vipi badoo yani sina raha nkitoka chooni nakuta watu wametoka nje kupunga upepo pia nnakuwa na harufu mbya jaman mke mpk anataaka kurud kwao tatz nn wakuu maana sasa iv nakata gogo saa tisa kila mtu kalala
Utakua unakula vibuduHabari za jioni ndugu zangu kwa kwl mwenzenu naadhirika kutokana na harufu ninayoitoa nkienda haja kubwa ni mbya kupita maelezo hata nitumie manukato vipi badoo yani sina raha nkitoka chooni nakuta watu wametoka nje kupunga upepo pia nnakuwa na harufu mbya jaman mke mpk anataaka kurud kwao tatz nn wakuu maana sasa iv nakata gogo saa tisa kila mtu kalala
Pole sana mkuu. Wawezawasiliana na mwana if mmoja ajulikanaye kwa jina la dmkali ambaye aliwahi kukumbwa na dhahama iliyompelekea kumogoa kwa vidole hiyo mambo kwa ushauri zaidi. Naamini atakusaidia sana!Habari za jioni ndugu zangu kwa kwl mwenzenu naadhirika kutokana na harufu ninayoitoa nkienda haja kubwa ni mbya kupita maelezo hata nitumie manukato vipi badoo yani sina raha nkitoka chooni nakuta watu wametoka nje kupunga upepo pia nnakuwa na harufu mbya jaman mke mpk anataaka kurud kwao tatz nn wakuu maana sasa iv nakata gogo saa tisa kila mtu kalala
Sina mbavu mie!!!. Watu wengine ni makomedi aisee.Habari za jioni ndugu zangu kwa kwl mwenzenu naadhirika kutokana na harufu ninayoitoa nkienda haja kubwa ni mbya kupita maelezo hata nitumie manukato vipi badoo yani sina raha nkitoka chooni nakuta watu wametoka nje kupunga upepo pia nnakuwa na harufu mbya jaman mke mpk anataaka kurud kwao tatz nn wakuu maana sasa iv nakata gogo saa tisa kila mtu kalala