Sina raha kinyesi changu kinatoa harufu mbaya sana

Sina raha kinyesi changu kinatoa harufu mbaya sana

Habari za jioni ndugu zangu kwa kwl mwenzenu naadhirika kutokana na harufu ninayoitoa nkienda haja kubwa ni mbya kupita maelezo hata nitumie manukato vipi badoo yani sina raha nkitoka chooni nakuta watu wametoka nje kupunga upepo pia nnakuwa na harufu mbya jaman mke mpk anataaka kurud kwao tatz nn wakuu maana sasa iv nakata gogo saa tisa kila mtu kalala

Kunywa perfume
 
You are what you eat, hizi space food kama pilau, pia zinaleta harufu mbaya kwenye haja kubwa pombe hata beer pia inaleta harufu mbaya kwenye kinyesi, punguza ulaji wa nyama hasa red meat. Umeshawahi kujiuliza kwanini mifugo inayokula majani unaweza kulala nayo ndani. Unaweza kulala na ng'ombe, mbuzi na kondoo lakini huwezi kuvumila kinyesi cha mbwa au paka? Dawa ya kupata choo kisicho na harufu ni kula fruits and vegetables.

Hivi kitimoto ni red meat mkuu?[emoji32].......maana naipenda mno!
 
Kunywa maji mengi pamoja na matunda. Jaribu pia kupima UTI.
 
Kunywa maji mengi, mboga za majani hasa mchicha jaribu kuula kama chakula utashangaa. Kama unatumia vyoo vya kuflash ambavyo unachuchmaa hakikisha unakuwa na maji ile unaachia tu unasukuma na maji .
Pole
 
Kunywa maji mengi, mboga za majani hasa mchicha jaribu kuula kama chakula utashangaa. Kama unatumia vyoo vya kuflash ambavyo unachuchmaa hakikisha unakuwa na maji ile unaachia tu unasukuma na maji .
Pole
Muhanga mwingine huyu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mnamchanganya huyu, kikiwekwa chochote mdomoni iwe maji au chakula kikitoka ni harufu mbaya. Namshauri abadilishe sehemu ya kuingizia kama atashindwa tumsaidie.
 
Dah kwani unatoa hewa gani mkuu watu wanalewa. Kama ni kweli hii hali basi Acha kula hovyo hovyo. Pia kula matunda kwa vingi, kunywa maji ya kutosha. Usile kila unachokiona mbele yako. Kwani unakunya Hadharani
 
Ni white meat mkuu.

"Why is Pork a "Red" Meat?
Oxygen is delivered to muscles by the red cells in the blood. One of the proteins in meat, myoglobin, holds the oxygen in the muscle. The amount of myoglobin in animal muscles determines the color of meat. Pork is classified a "red" meat because it contains more myoglobin than chicken or fish. When fresh pork is cooked, it becomes lighter in color, but it is still a red meat. Pork is classed as "livestock" along with veal, lamb and beef. All livestock are considered "red meat."
 
Back
Top Bottom