Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari za jioni ndugu zangu kwa kwl mwenzenu naadhirika kutokana na harufu ninayoitoa nkienda haja kubwa ni mbya kupita maelezo hata nitumie manukato vipi badoo yani sina raha nkitoka chooni nakuta watu wametoka nje kupunga upepo pia nnakuwa na harufu mbya jaman mke mpk anataaka kurud kwao tatz nn wakuu maana sasa iv nakata gogo saa tisa kila mtu kalala
You are what you eat, hizi space food kama pilau, pia zinaleta harufu mbaya kwenye haja kubwa pombe hata beer pia inaleta harufu mbaya kwenye kinyesi, punguza ulaji wa nyama hasa red meat. Umeshawahi kujiuliza kwanini mifugo inayokula majani unaweza kulala nayo ndani. Unaweza kulala na ng'ombe, mbuzi na kondoo lakini huwezi kuvumila kinyesi cha mbwa au paka? Dawa ya kupata choo kisicho na harufu ni kula fruits and vegetables.
Ni white meat mkuu.Hivi kitimoto ni red meat mkuu?[emoji32].......maana naipenda mno!
[emoji115][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji31]Muache kula vya watu
Mkuu umetishaUlivyoandika, mh! wakati nasoma nimesikia kabisa harufu!...
Nimetafuta namna ya kukupa likes nyingi ila nimeshindwa!![emoji24] [emoji24] [emoji24]Ni white meat mkuu.
Muhanga mwingine huyu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kunywa maji mengi, mboga za majani hasa mchicha jaribu kuula kama chakula utashangaa. Kama unatumia vyoo vya kuflash ambavyo unachuchmaa hakikisha unakuwa na maji ile unaachia tu unasukuma na maji .
Pole
Ni white meat mkuu.