Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,760
- 20,837
Hasa kiporo cha maharageKunywa maji mengi halafu epuka kula mchanganyiko wa viporo
Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
Habari za jioni ndugu zangu kwa kwl mwenzenu naadhirika kutokana na harufu ninayoitoa nkienda haja kubwa ni mbya kupita maelezo hata nitumie manukato vipi badoo yani sina raha nkitoka chooni nakuta watu wametoka nje kupunga upepo pia nnakuwa na harufu mbya jaman mke mpk anataaka kurud kwao tatz nn wakuu maana sasa iv nakata gogo saa tisa kila mtu kalala

Sometimes kinanuka... Alafu naongeza unywaji wa maji.Chako hakinuki kbs?!
1)kula chakula safi na kilicho iva vizuri
2)kula matunda kwa wingi
3)kunywa maji mengi Sana
Ohooooo!!!4.uache na viroba maana hakuna kinyesi chenyeharufu mbaya kama cha mlevi wa viroba
h[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kunywa maji mengi halafu epuka kula mchanganyiko wa viporo
Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
Habari za jioni ndugu zangu kwa kwl mwenzenu naadhirika kutokana na harufu ninayoitoa nkienda haja kubwa ni mbya kupita maelezo hata nitumie manukato vipi badoo yani sina raha nkitoka chooni nakuta watu wametoka nje kupunga upepo pia nnakuwa na harufu mbya jaman mke mpk anataaka kurud kwao tatz nn wakuu maana sasa iv nakata gogo saa tisa kila mtu kalala
Habari za jioni ndugu zangu kwa kwl mwenzenu naadhirika kutokana na harufu ninayoitoa nkienda haja kubwa ni mbya kupita maelezo hata nitumie manukato vipi badoo yani sina raha nkitoka chooni nakuta watu wametoka nje kupunga upepo pia nnakuwa na harufu mbya jaman mke mpk anataaka kurud kwao tatz nn wakuu maana sasa iv nakata gogo saa tisa kila mtu kalala
Jibu zuri kabisaYou are what you eat, hizi space food kama pilau, pia zinaleta harufu mbaya kwenye haja kubwa pombe hata beer pia inaleta harufu mbaya kwenye kinyesi, punguza ulaji wa nyama hasa red meat. Umeshawahi kujiuliza kwanini mifugo inayokula majani unaweza kulala nayo ndani. Unaweza kulala na ng'ombe, mbuzi na kondoo lakini huwezi kuvumila kinyesi cha mbwa au paka? Dawa ya kupata choo kisicho na harufu ni kula fruits and vegetables.