Sina raha kinyesi changu kinatoa harufu mbaya sana

Ah ah mkuu huwa unakata baada ya siku tatu nn??

Acha kula.viporo visivyo pashwaaa
 
Habari za jioni ndugu zangu kwa kwl mwenzenu naadhirika kutokana na harufu ninayoitoa nkienda haja kubwa ni mbya kupita maelezo hata nitumie manukato vipi badoo yani sina raha nkitoka chooni nakuta watu wametoka nje kupunga upepo pia nnakuwa na harufu mbya jaman mke mpk anataaka kurud kwao tatz nn wakuu maana sasa iv nakata gogo saa tisa kila mtu kalala

Mhhh, funguka Zaidi mkuu ili usaidiwe. Je, unashikishwa ukuta ukiwa nje ya nyumba yako?
 
Habari za jioni ndugu zangu kwa kwl mwenzenu naadhirika kutokana na harufu ninayoitoa nkienda haja kubwa ni mbya kupita maelezo hata nitumie manukato vipi badoo yani sina raha nkitoka chooni nakuta watu wametoka nje kupunga upepo pia nnakuwa na harufu mbya jaman mke mpk anataaka kurud kwao tatz nn wakuu maana sasa iv nakata gogo saa tisa kila mtu kalala

Ndugu yangu hivi hapa kweli ni right forum ya kuuliza swali kama hilo? are you not a great thinker?, ndiyo maana umepata majibu ya kejeri. Be serious bwana!!!!!!
 
Chumba cha kupanga ninacho lakini choo cha ndani cha ku share....njoo nadhani kwa utozi wako ukikuta wanawake coridon harufu itakata automatically.
 
Zinangatia ushauri wa kula matunda mara kwa mara na pia kunywa maji.

Zingatia pia kwenda haja kwa wakati, na sio kubana na kusubiri.

Lakini pia kitu kimoja rahisi sana cha kupima harufu ya choo chako, ni harufu ya fart yako. The more smelly the fart, the more smelly the stool.

Kufart mara kwa mara, kunasaidia build up ya gas ndani ya tumbo lako, na ultimately ukienda chooni, harufu itakuwa very minimal. Jaribu hii utaona matokeo yake.
 
Kutotumia majina yetu kunatufanya tuweke mada za kijinga sana..
Pata picha hii mada imeandikwa na Sizonje..
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Habari za jioni ndugu zangu kwa kwl mwenzenu naadhirika kutokana na harufu ninayoitoa nkienda haja kubwa ni mbya kupita maelezo hata nitumie manukato vipi badoo yani sina raha nkitoka chooni nakuta watu wametoka nje kupunga upepo pia nnakuwa na harufu mbya jaman mke mpk anataaka kurud kwao tatz nn wakuu maana sasa iv nakata gogo saa tisa kila mtu kalala
 
Habari za jioni ndugu zangu kwa kwl mwenzenu naadhirika kutokana na harufu ninayoitoa nkienda haja kubwa ni mbya kupita maelezo hata nitumie manukato vipi badoo yani sina raha nkitoka chooni nakuta watu wametoka nje kupunga upepo pia nnakuwa na harufu mbya jaman mke mpk anataaka kurud kwao tatz nn wakuu maana sasa iv nakata gogo saa tisa kila mtu kalala

Aah tuna vtu vng vya kudili navyo...to a usenge wko hapa
 
You are what you eat, hizi space food kama pilau, pia zinaleta harufu mbaya kwenye haja kubwa pombe hata beer pia inaleta harufu mbaya kwenye kinyesi, punguza ulaji wa nyama hasa red meat. Umeshawahi kujiuliza kwanini mifugo inayokula majani unaweza kulala nayo ndani. Unaweza kulala na ng'ombe, mbuzi na kondoo lakini huwezi kuvumila kinyesi cha mbwa au paka? Dawa ya kupata choo kisicho na harufu ni kula fruits and vegetables.
Jibu zuri kabisa
 
Back
Top Bottom