Asante mwaya.Nadhani haikumjia kichwani.Ina mana huyo rafiki hamfahamu mumeo au? Manake amesubutuje kukupa simu umpigie mumeo ilhali anajua amemsevu mpenzi?au ndio kusema hakujua unapiga kwa nani? Ila anajiamini sana! Una moyo wa uvumilivu sana, mimi ningeanguka kwa presha....sijui nikoje lakini sijajaliwa huo moyo jamani... Kazungumze na mumeo, pole sana asee!
Kama nikiamua kumuacha kuna haja ya kusikiliza utetezi na visingizio vyake kweli?KWENYE SWALA LA UZINZI SINA MSAMAHA NA M2, HATA MY MUME ANALIJUA HVY KM ANAFANYA UCHAFU WAKE ANAUFANYIA MBALI SN NA SIJAWAH KUMFUMA WL KUSIKIA, ha mi siwezi kumpenda m2 kwa moyo wangu wote hlf akanidhalilisha!
Yes Boss, that's me. You seem surprised.
POLE MAMY, najaribu kuvaa viatu vyako naona havinitoshi, pole sana ila zidisha maombi MUNGU ATAKUSAIDIAAsante Neema. Kuhusiana nae kimwili siwezi kwakweli,kulala nae tu naona tabu.Ila ntajitahidi nimweleze kwamba najua soon.
ume convert?
i thought cheating is uforgivable?
HAPANA SIJAKWAMBIA UMWACHE MUMEO ILA KUWA SERIOUS SANA TENA SANA NA UONYESHE KUCHUKIZWA NA TABIA YAKE HIYO VINGINEVYO UKISEMA UMNYENYEKEE WKT KAKUKOSEA ATAKUDHARAU NA ATARUDIA TENA!iKama nikiamua kumuacha kuna haja ya kusikiliza utetezi na visingizio vyake kweli?
HAPANA SIJAKWAMBIA UMWACHE MUMEO ILA KUWA SERIOUS SANA TENA SANA NA UONYESHE KUCHUKIZWA NA TABIA YAKE HIYO VINGINEVYO UKISEMA UMNYENYEKEE WKT KAKUKOSEA ATAKUDHARAU NA ATARUDIA TENA!i
I'm trying to fit in with the JF MMU crowd. I want to be accepted.
Asante mwaya. Simu yake ina password, hua hapendi niguse hata kama nataka kumpigia mtu na yangu haina salio.
ha ha haaa
but they like you with your principles....i was guessing..
now you are going to fit in and what next????
but how do you feel now?after giving that advice...
Eti wanasemaga mwanaume hafumaniwi bali anakutwa... Afu mwanamke anafumaniwa.Ingekuwa ni mke kafanya hivyo ungesikia wanasema........PIGA CHINI FASTA HUYO!!! Lol
I don't think I'm liked enough that's why I'm softening my stance. I want to be like The Boss. All the girls like you Boss.
Vyovyote itakavyokuwa huyo rafiki usimwache hivi hivi. Mvae na yeye tena kiutu uzima manake amekufanyia dharau ya hali ya juu. Kweli kikulacho ki nguoni mwako...Asante mwaya.Nadhani haikumjia kichwani.
Yani namfikiria simmalizi.
Asante mwaya. Simu yake ina password, hua hapendi niguse hata kama nataka kumpigia mtu na yangu haina salio.
WE NYANI VIPI WEWE?! we ukigundua mkeo kipenzi anatembea na rafiki yako malaria sugu utafanyaje?Pole sana na hayo madhila Da'Misguided. Mkalishe chini huyo mumeo uongee naye halafu umsamehe muendelee na maisha yenu.
WE NYANI VIPI WEWE?! we ukigundua mkeo kipenzi anatembea na rafiki yako malaria sugu utafanyaje?
Nitavumilia na kumsamehe tu. Pia nitamwomba asinicheat tena.