- Thread starter
- #41
Asante mwaya.Nadhani haikumjia kichwani.Ina mana huyo rafiki hamfahamu mumeo au? Manake amesubutuje kukupa simu umpigie mumeo ilhali anajua amemsevu mpenzi?au ndio kusema hakujua unapiga kwa nani? Ila anajiamini sana! Una moyo wa uvumilivu sana, mimi ningeanguka kwa presha....sijui nikoje lakini sijajaliwa huo moyo jamani... Kazungumze na mumeo, pole sana asee!
Yani namfikiria simmalizi.