Sina raha

Sina raha

Ina mana huyo rafiki hamfahamu mumeo au? Manake amesubutuje kukupa simu umpigie mumeo ilhali anajua amemsevu mpenzi?au ndio kusema hakujua unapiga kwa nani? Ila anajiamini sana! Una moyo wa uvumilivu sana, mimi ningeanguka kwa presha....sijui nikoje lakini sijajaliwa huo moyo jamani... Kazungumze na mumeo, pole sana asee!
Asante mwaya.Nadhani haikumjia kichwani.
Yani namfikiria simmalizi.
 
Pole sana dada, kama una moyo wa kijasiri zaidi, mualike huyo shoga yako home kwenu siku kama ya w-end ukijua kuwa mumeo yupo. Nenda kampokee shoga yako wakati mkiwa mlangoni au kwenye veranda omba cm ya shoga yako piga kwa mmeo akipokea ingia nayo ndani hakikisha anajua upumbavu ambao anaofanya. Then shoga naye ajue umejua issue nzima thn aondoke. Mkalishe mmeo ongea naye kwa burasa muelezee ulichogundua thn kama ana kili timamu ataacha uchafu wake! na shoga vivyo hivyo
 
KWENYE SWALA LA UZINZI SINA MSAMAHA NA M2, HATA MY MUME ANALIJUA HVY KM ANAFANYA UCHAFU WAKE ANAUFANYIA MBALI SN NA SIJAWAH KUMFUMA WL KUSIKIA, ha mi siwezi kumpenda m2 kwa moyo wangu wote hlf akanidhalilisha!
Kama nikiamua kumuacha kuna haja ya kusikiliza utetezi na visingizio vyake kweli?
 
Asante Neema. Kuhusiana nae kimwili siwezi kwakweli,kulala nae tu naona tabu.Ila ntajitahidi nimweleze kwamba najua soon.
POLE MAMY, najaribu kuvaa viatu vyako naona havinitoshi, pole sana ila zidisha maombi MUNGU ATAKUSAIDIA
 
Kama nikiamua kumuacha kuna haja ya kusikiliza utetezi na visingizio vyake kweli?
HAPANA SIJAKWAMBIA UMWACHE MUMEO ILA KUWA SERIOUS SANA TENA SANA NA UONYESHE KUCHUKIZWA NA TABIA YAKE HIYO VINGINEVYO UKISEMA UMNYENYEKEE WKT KAKUKOSEA ATAKUDHARAU NA ATARUDIA TENA!i
 
HAPANA SIJAKWAMBIA UMWACHE MUMEO ILA KUWA SERIOUS SANA TENA SANA NA UONYESHE KUCHUKIZWA NA TABIA YAKE HIYO VINGINEVYO UKISEMA UMNYENYEKEE WKT KAKUKOSEA ATAKUDHARAU NA ATARUDIA TENA!i

Amsamehe tu mumewe
 
I'm trying to fit in with the JF MMU crowd. I want to be accepted.

ha ha haaa
but they like you with your principles....i was guessing..
now you are going to fit in and what next????

but how do you feel now?after giving that advice...
 
Asante mwaya. Simu yake ina password, hua hapendi niguse hata kama nataka kumpigia mtu na yangu haina salio.

Mh pole sana dada yangu. mmeo huyo anaonekana ni wale mambo meng wale(Haja2lia). cha kufanya muweke 2 aware kuwa umejua ana uhusiano wa kimapenz na shost wako, ata akikana mdomon tu ila rohon litamsuta. pia muweke tu kwenye maombi dada yangu mungu ni mwema atamtoa uko. cz kwa nguvu zako kama binadamu ata umwambie nn io tabia hatoacha, ni mungu tu. sali sana dada litapita ilo. kila la kheri dia sis.
 
hivi huyo rafiki yako yeye hana mwanaume? tabu ni haya magonjwa tu yaliyoonea mdada. walie timing hao mpk uwabambe kisawa sawa.peleleza nyendo zao,mwizi lzm ashikwe na alichoiba. wote wawili ni shameless viumbe.na uwe unamtia wivu mume kwamba huyo hawara yake kapata buzi,wakati mwingine mwambie rafiki ana buzi lina ngoma ili atoke jasho. Pole dada.:
 
I don't think I'm liked enough that's why I'm softening my stance. I want to be like The Boss. All the girls like you Boss.

unanivunja mbavu hapa...
usisahau i wrote 'nyumba ndogo guide'
na women hate me for that...

halafu i think they like you fine...more than me....
or is it we all want something we dont have?
i think they like NN more,you think me??
unless you are telling me 'something' i dont know...
 
Asante mwaya.Nadhani haikumjia kichwani.
Yani namfikiria simmalizi.
Vyovyote itakavyokuwa huyo rafiki usimwache hivi hivi. Mvae na yeye tena kiutu uzima manake amekufanyia dharau ya hali ya juu. Kweli kikulacho ki nguoni mwako...
 
Una moyo sana, mpaka leo umenyamaza umekaa na fundo moyoni baada ya mwezi utadevelope presha na vidonda vya tumbo vitakutesa for the rest of your life, mwambie kwanza shoga yako mchana mwambie umeona msg zote alizomwandikia mumeo, umsikilizie, then mumeo nae mwabie ili kama kuna maamuzi ya kufanya ufanye mapema, na huyo shoga lazima atajua kwamba umejua tu
 
ndio nn kuja kunianika hapa JF?
kukuta neno mpenzi ndio iwe tatizo kwani una evidence natembea nae? nifumanie ndio useme hivo usiishi kwa kudhania
simu yangu nimeweka pasword just for my security mm sishiki simu yako whu uguse yangu?
Asante mwaya. Simu yake ina password, hua hapendi niguse hata kama nataka kumpigia mtu na yangu haina salio.
 
Pole sana na hayo madhila Da'Misguided. Mkalishe chini huyo mumeo uongee naye halafu umsamehe muendelee na maisha yenu.
WE NYANI VIPI WEWE?! we ukigundua mkeo kipenzi anatembea na rafiki yako malaria sugu utafanyaje?
 
Back
Top Bottom