Sina shaka nae katika Hotuba zake nzuri zenye Maneno ya Matuamini, ila nimemuangalia kwa Jicho langu la Kiyahudi Jamaa kaumia mno na atawahama

Sina shaka nae katika Hotuba zake nzuri zenye Maneno ya Matuamini, ila nimemuangalia kwa Jicho langu la Kiyahudi Jamaa kaumia mno na atawahama

Sio rahisi namna hiyo kaumia lakini kuhama sidhani..
Ila mbele ya pesa inawezekana,lakini ahame ili akawe nani Tena!
 
Macho yangu ya Kiyahudi ambayo huwa yananipa hadi Hisia za Mtu kamwe hayajawahi Kukosea. Kaumia atahama.
alikuwa kwenye wakati mgumu, hata angefanya manuever abaki ingekuwa msala zaidi. Ahame tu, ahamie kule alikolambishwa asali
 
Hakuwa na furaha vipi wakati alikuwa na nguvu nyingi plus backup ya upande ule, alishindwaje kubaki madarakani na mbwembwe zote zile?
 
Kweli mwamba kaumia, lkn watoto wa mjini hatujawahi kushindwa na wakulima wa mahindi. Kuna jambo zito linaandaliwa mbeleni ambalo litamfanya mwenyekiti mpya kutimkia ubeberuni kama kawaida yake. makamu nae kutupwa ndani. Halaf baada ya chama kukaa muda mrefu bila kiongozi utaitishwa uchaguzi ambao mwamba atagombea tena na kushinda uchaguzi huo kwa mara nyingine kama Trump.

Huu uzi tutakuja kuufukua, na hii comment tutakuja kuikumbuka mbeleni.

Born Towns Never Surrender to Bush mens.
 
Back
Top Bottom